Ev. J Rwaha

Ev. J Rwaha This page is about The Bible; The inspired Word of God. Here we will be teaching and discussing in love.

Let us learn together under the guidance of The Holy Ghost.

Tuwazoeze watoto wetu kujifunza na kutunza maandiko mioyoni mwao
28/05/2023

Tuwazoeze watoto wetu kujifunza na kutunza maandiko mioyoni mwao

Let's put all in it!EvangelismTeachingBenevolence          411 Discipleship Training in Mbagala R3 CoC
03/07/2022

Let's put all in it!

Evangelism
Teaching
Benevolence

411 Discipleship Training in Mbagala R3 CoC

Mahafali ya 49 y TBS. Wahitimu 73 ndio waliofika mwisho kati ya wale wengi walioanza miaka miwili iliyopita. Hongereni👏👏
18/12/2021

Mahafali ya 49 y TBS. Wahitimu 73 ndio waliofika mwisho kati ya wale wengi walioanza miaka miwili iliyopita. Hongereni👏👏

18/12/2021

Mahafali ya 49 ya TBS (Tanzania Bible School) Dar es salaam. Wahitimu 73 ndio waliofanikiwa kufika mwisho wa mafunzo haya yq miaka miwili. Hongereni walimu na wawezeshaji kwa kazi hii nzuri.

Hatua nzuri wanangu. Mnaondoka na baraka za wazazi pamoja na maombi ya watakatifu. Mungu yupo nanyi. Maisha mema ya ndoa...
16/12/2021

Hatua nzuri wanangu. Mnaondoka na baraka za wazazi pamoja na maombi ya watakatifu. Mungu yupo nanyi. Maisha mema ya ndoa.

20/11/2021
17/09/2021

Maarifa yanapatikana kwa kusoma, kujifunza na kukubali kubadilika.

Tujifunze, tutafakari; hata k**a ni machungu, tujifunze
17/09/2021

Tujifunze, tutafakari; hata k**a ni machungu, tujifunze

Mara nyingi tunapoangalia nyuma ktk maisha yetu, hatuoni mazuri tuliyofanikiwa kufanya wala hatutaki kutambuwa jitihada,...
27/04/2021

Mara nyingi tunapoangalia nyuma ktk maisha yetu, hatuoni mazuri tuliyofanikiwa kufanya wala hatutaki kutambuwa jitihada, japo ndogo tulizofanya. Tunaangalia zaidi tulipokosea na mabaya tuliyofanya kisha tuaanza kujilaumu na hivyo kujifungia hata nafasi ya kujiwekea malengo mapya ili tusonge mbele kwa matumaini.

1.Itumie jana yako kupanga kesho yako. Pale ulipofanya vzr, panga kuongeza bidii na pale ulipoteleza, jitahidi usirudie makosa.
2. Acha kujilaumu, utasababisha moyo wako kufa nganzi kisha utashindwa kupiga hatua kuelekea mafanikio yako.
3. 1Thes.5:16-18

24/04/2021

I love you all!

26/02/2021

"Sow a thought, and you reap an act; Sow an act, and you reap a habit; Sow a habit, and you reap a character; Sow a character, and you reap a destiny". ( Samuel Smiles)

Start reading your Bible.

Welcome to our page. Visit us for more updates on the Truth, the Word of God.Karibu katika ukurasa wetu. Tutembelee kwa ...
22/02/2021

Welcome to our page. Visit us for more updates on the Truth, the Word of God.

Karibu katika ukurasa wetu. Tutembelee kwa masomo ya Kweli ya neno la Mungu.

Address

Dar Es Salaam
45082

Telephone

+255788287788

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev. J Rwaha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ev. J Rwaha:

Shortcuts

Share

Category