22/10/2025
๐ Habari Njema! ๐
Tunapenda kuwajulisha kuwa Shule ya Awali na Msingi Boanerges sasa imefungua rasmi Shule ya Sekondari! ๐
Tunaendelea kutoa elimu bora yenye nidhamu, maadili na malezi mema sasa hadi ngazi ya sekondari. ๐ซ
๐ Usajili unaendelea!
Kwa maelezo zaidi, tembelea ofisini kwetu au wasiliana nasi kwa [0718082738/0672433249].