Baada ya kutengwa na kunyanyapaliwa na jamii kutokana na maumbile yake, Mtoto Dora ameamua kutumia filamu kuelimisha jamii. Video kwa Hisani ya
Hatasisitupo
Hii page ipo kwaajili ya kupaza sauti ya mnyonge, tuishi kwa upendo bila ya kujari huyu ni Mwanamke,
04/02/2021
Like page hii.
Happy New Year
Habari wandugu
08/03/2017
Siku ya wanawake itupe somo la upendo kwa wanawake, kwakua kila mtu naona anapost kwamba anampenda sana mama yake na kwakua hata mtoto wa k**e wa leo ni mama wa kesho inatupasa kuwapenda wanawake wote maana hata mkeo ni mama wa mwanao. tunajua kwamba unampenda sana mama yako tunakuomba mpende na mama wa mwenzio.
20/01/2017
BARNEY PRE & PRIMARY SCHOOL Education Enlightens Life
25/12/2016
Tunawatakia Mery xmas and happy new year. Wadau wetu na wale wote waishio kwenye mazingira magumu.
Leo Desemba 9, Tanzania bara (Tanganyika) inatimiza miaka 55 ya Uhuru ambao ulipatikana mwaka 1961, chini ya Uongozi wa hayati Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere.
07/12/2016
Mtoto aliyeenda kuomba kwenye gari alibubujikwa na machozi baada ya kugundua aliyekuwa anamuomba amewekewa oxygen ili kuokoa maisha yake. Umejifunza nini hapa?
Jumatatu njema.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Address
Yombo Buza
Dar Es Salaam