Islamic Swahili NET

Islamic Swahili NET 🕌 Mawaidha | 🤲 Daawa | 🗞 Habari
LIKE PAGE & FOLLOW US NOW
KWA UPDATES MBALIMBALI
(1)

14/08/2026

EWE ALLAH TUNAKOMBA UTUJALIE TUWE MIONGONI MWA WATAKAOINGIA PEPONI.

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

ALLAH ATUJALIE WATOTO WEMA WENYE KUPENDA KUISMA QURAN"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mung...
14/08/2026

ALLAH ATUJALIE WATOTO WEMA WENYE KUPENDA KUISMA QURAN

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu anayemwonekana hapa ni Sheikh Abubakr Ahmad, anayejulikana pia k**a Kanthapuram A. P. A...
14/08/2026

Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu anayemwonekana hapa ni Sheikh Abubakr Ahmad, anayejulikana pia k**a Kanthapuram A. P. Aboobacker Musliyar, ambaye anatambulika k**a M***i Mkuu wa India.

Safari yake kubwa ya kuwahudumia wenye uhitaji ilianza katika miaka ya 1960 huko Kerala, ambapo aliwalea na kuwahudumia watoto mayatima 25.

Mwaka 1978, alianzisha Jamia Markaz (Markazu Saquafathi Sunniyya) huko Kozhikode, Kerala. Tangu wakati huo, taasisi hiyo imekua na kuwa miongoni mwa taasisi kubwa za elimu na huduma za kibinadamu nchini India.

Kupitia Jamia Markaz na mtandao wake mpana wa huduma za kijamii, taasisi zake zimewezesha elimu bure, chakula na makazi kwa makumi ya maelfu ya mayatima na watoto kutoka familia zenye uhitaji katika maeneo mbalimbali ya India.

Kutokana na kujitolea kwake kwa muda mrefu katika kuwahudumia mayatima, ametambulika kwa heshima kwa jina “Abul Aytam”, ambalo kwa Kiarabu linamaanisha “Baba wa Mayatima.”

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

UMEJIFUNZA JAMBO GANI KULINGANA NA KHUTBA YA IJUMAA LEO?"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi M...
14/08/2026

UMEJIFUNZA JAMBO GANI KULINGANA NA KHUTBA YA IJUMAA LEO?

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

IJUMAA YA LEO UMESWALI KATIKA MSIKITI GANI?"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjeng...
14/08/2026

IJUMAA YA LEO UMESWALI KATIKA MSIKITI GANI?

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

14/08/2026

MAMBO MANNE YA KWANZA MTUME ﷺ ALIYOWAAMBIA WATU ALIPOWASILI MADINA

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

Katika mitaa ya Cairo, mwanamke Muislamu asiye na  chochote anashiriki kile kidogo alichonacho, akimlisha paka wa mitaan...
14/08/2026

Katika mitaa ya Cairo, mwanamke Muislamu asiye na chochote anashiriki kile kidogo alichonacho, akimlisha paka wa mitaani kabla hata hajajifikiria yeye mwenyewe. Hana starehe wala uhakika wa kupata mlo wake unaofuata; lakini licha ya hayo yote, bado anatoa alichonacho.

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:

📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

14/08/2026

Mwanamke kujipamba, kuvaa au kujifananisha na wanaume katika mavazi, mwenendo na maumbile yanayotambulisha jinsia ya kiume ni jambo lililokatazwa katika Uislamu na limekuja kwa onyo kali. Kadhalika, mwanaume kujifananisha na wanawake katika mavazi, mapambo, mienendo au sifa zinazowatambulisha wanawake ni jambo lililokatazwa. Hivyo, Muislamu anapaswa kuhifadhi utambulisho na heshima ya jinsia yake kwa kufuata mipaka na maelekezo yaliyowekwa na Sharia.

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:
📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

"Kila saa nikiwasha Tv nakutana na wachungaji wakijiita wananguvu wanatenda miujiza ya kuponya watu hadi viwete wanatemb...
14/08/2026

"Kila saa nikiwasha Tv nakutana na wachungaji wakijiita wananguvu wanatenda miujiza ya kuponya watu hadi viwete wanatembea... lakini juzi nimewaita hapa ikulu waje kuombea wagonjwa wa ebola katika kambi zetu, hakufika hata Mchungaji mmoja... Na ninashangaa hata wakati wa ugonjwa wa korona mwaka ule wachungaji nao walifunga makanisa, wakavaa barakoa na wakijificha... Hii maana yake Nini?"
- Yoweri Museven

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:
📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

Wakati wa uhai wa Mtume Muhammad ﷺ, jua lilipatwa siku ambayo mwanawe Ibrahim alifariki. Kwa sababu tukio hilo la angani...
13/08/2026

Wakati wa uhai wa Mtume Muhammad ﷺ, jua lilipatwa siku ambayo mwanawe Ibrahim alifariki. Kwa sababu tukio hilo la angani lilitokea siku hiyo hiyo, baadhi ya watu wakaanza kusema kuwa kupatwa kwa jua kulitokana na kifo cha Ibrahim. Lakini Mtume ﷺ hakukubali watu kuamini hivyo. Alisema: “Hakika jua na mwezi ni miongoni mwa alama za Mwenyezi Mungu. Havipatwi kwa sababu ya kufa au kuzaliwa kwa mtu yeyote.” (Sahih al-Bukhari)

Mtume ﷺ akawaelekeza watu wamuelekee Mwenyezi Mungu kwa swala na dua wakati wa kupatwa kwa jua. Fikiria uzito wa tukio hili: mwanawe alikuwa amefariki, na tukio kubwa la kupatwa kwa jua likatokea siku hiyo hiyo. Angeweza kuruhusu watu waamini kuwa hilo ni ishara iliyohusiana na kifo cha mwanawe, lakini hakufanya hivyo. Badala yake, alisahihisha imani hiyo na kuwaelekeza watu kwa Allah. Akasema: “Basi mtakapoiona, muombeni Mwenyezi Mungu na mswali mpaka kupatwa huko kumalizike.” (Sahih Muslim). Hili linaonyesha namna Mtume Muhammad ﷺ alivyokuwa akisimamia ukweli na kutomruhusu mtu kuhusisha matukio ya ulimwengu na nafsi yake, hata pale ambapo angeweza kunufaika nayo.

"Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​"

Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia:
📱 M-PESA: 0769 756 490
📱 YAS | MIX: 0715 868 990
📱 HALOPESA: 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA

Address

Posta
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Islamic Swahili NET posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share