08/01/2023
Swipe kuona nani kamaliza wa kwanza kabla ya mwenzake.😄 Mlete mwanao akue na kupata malezi bora, upendo na kujiamini.
Tunatoa elimu ya chekechea na kulea watoto wadogo (Day Care) kati ya umri wa 1½ hadi 5. Tutafungua muhula wa kwanza [first term] January 2023. Kituo kipo katika mazingira mazuri ya kufundishia.
ADA ZETU NI 200,000/= kwa muhula mmoja. Na shule inamihula minne kwa Mwaka mzima. Gharama za usafiri hutegemeana na umbali wa mahali mlipo.
Tunapatikana Kijitonyama kwa Ali Maua - Mtaa wa Bukoba, Tupigie 0769442240 | 0678442240 kwa maelezo zaidi.