The Dreamers Development Agency

The Dreamers Development Agency

Share

Motivation, Training, Coaching, Inspiration and Advising

Photos from The Dreamers Development Agency's post 05/04/2022

Ukiwa na malengo, ukaamini na kuyasimamia kwa juhudi. Hakuna kitakachoweza kukuzuia.

Sisi ni washindi wenye kila sababu ya kukuhamasisha wewe mwenye maono makubwa kusimama na kuyapigania.
Hutajutia.

#2022

04/04/2022

Today is the birthday of the co-founder of
Mary Rusimbi who has served as the Fund’s first Executive Director for over 10 years has officially stepped down from this role but will remain a member of the Board of Trustees.

We wish her well in her next adventure!

02/04/2022

Mwanamke Kinara.
Asante kwa kuendelea kutoa jukwaa hili lenye tija na hamasa kwa vijana na wanawake ndani ya nchi yetu.
💪🏾

Cc

08/03/2022

Ondoa mipaka, usawa wa kijinsia kwa Ustawi wa jamii yetu.

Happy women’s day.

28/02/2022

Deogratias Bwire
( ni mfuko unaondeshwa kutoa misaada mbalimbali kwa mashirika yanayotoa misaada ya kisheria,shirikia hili limezinduliwa mwaka 2011.

Legal Services Facility] inafanya kazi katika maswala manne

1.Kuhakikisha watu wanapata msaada wa kisheria
2.Kutoa msaada wa kisheria 3.Uboreshaji wa mazingira ya ufikiaji wa haki
4.Uwekaji wa Uendelevu wa huduma za msaada wa kisheria upatikanaji wa ruzuku

Photos from The Dreamers Development Agency's post 28/02/2022

Jukumu la kuweka usawa na kutokomeza ukatili wa kijinsia ni letu zote.

Asante kwa viongozi wetu kuwa mstari wa mbele katika kuleta chachu ya mabadiliko haya.

Pichani ni Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu Dr. Dorothy Gwajima.

Anne kulaya mkurugenzi wa
Dk Katanta Simwanza
Dr Shashid Mfaume
Tulo Masanja kamishna ustawi wa jamii

Photos from The Dreamers Development Agency's post 28/02/2022

Shikiri kutokomeza ukatili wa kijinsia. Ukatili na udhalilishaji mahali pa kazi sasa basi.

Sisi tukiongozwa na mkurugenzi wetu tunaunga mkono harakati, vipi wewe?

Cc

Photos from The Dreamers Development Agency's post 28/02/2022

Ni furaha kwetu kushiriki kikao cha pamoja na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu Dr. Dorothy Gwajima.

Mkutano huu unaendelea sasa ndani ya ofisi za WiLDAF-Mikocheni 'A'.

Picha wa Pili kutoka kushoto ni mkurugenzi wetu

Akiwa sehemu ya washiriki.

Cc

02/12/2020

Ni siku muhimu Sana kwa wazazi na walezi wote wenye mtizamo chanya juu ya watoto wao au familia yao kwa ujumla.

Usipange kukosa siku hii.


18/11/2020

Uongozi mzima wa TDDo unatoa pongezi nyingi kwa Taasisi yote ya kwa kuandaa na kufanikisha Event nzuri....

18/11/2020

Tuliweza kushirika katika michezo mbalimbali iliyoandaliwa na ili kuweza kuwafundisha watoto wetu kwa vitendo.


18/11/2020

M/Kiti wa TDDo aliweza kushiriki pamoja na Taasisi nyingine katika Event ya watoto na wahitimu wa darasa la Saba iliyoandaliwa na

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00