CCT College

CCT College Karibu sana CCT College upate kusoma fani mbali mbali zitakazo kupatia ajira kwa haraka sana - piga

20/11/2024
05/12/2020
19/02/2020

Pata fursa ukiwa na ujuzi wa kompyuta(Computer).
_Watu wengi hasa vijana wameweza kufanya mambo makubwa duniani kwa kujua program fulani za kompyuta. Mfano tajiri mkubwa Dunian Yaani Bill gate utajili wake wote Ni program ya Microsoft office. Sasa Kuna vijana wengi wako mitaani na wanasema maisha Ni magumu na hawana ajira, Sasa hii Ni fursa yako ya kutengeneza pesa kwa kujua program fulani za kompyuta. Lakini pia wafanya biashara wameshindwa kufikia malengo yao na kupata faida kubwa kwa kukosa fursa ya kujua mambo fulani ambayo yanaweza kufanywa ndani ya computer tu na biashara ikakuwa kwa kazi na kuleta faida kubwa. Jambo ambalo unatakiwa kujua Ni kwamba haya mataifa makubwa yamefanikiwa kwa sababu watu wao wamejikita Sana kwenye mambo ya Teknolojia, hapa ndo tunapozidiwa sisi waafrika. Naomba uchukue kalamu na daftari ili unote mambo haya na yatakusaidia Sana:-
- Kwa Sasa Kuna ongezeko kubwa la wajasiliamali(Entrepreneurs) Duniani hivyo Kuna baadhi ya program za kompyuta zinaitajika Sana ili kuwawezesha wafanya biashara kujitangaza na kutengeneza package pamoja na brand zao n.k.
Leo naomba tuanze na program moja ambayo unapaswa ujifunze kwa kina na upate mahali au chuo utakapojifunza kwa kina zaidi:
1. Photoshop( Adobe Photoshop) Hii program ni kipekee Sana kwa wewe mtanzania kuweza kuifahamu vizuri kwa maana makampuni na maofisi yote Duniani upenda kujitangaza na kutengeneza brand zao kwa kuweka mwonekano Bora wa bidhaa au huduma zao, hivyo mtu mwenye ujuzi wa program hii anaweza kuwa designer mzuri Sana ambaye anaweza kuandaa matangazo au picha au chochote ambacho ofsi usika inaitaji na kuweza kutangaza ofsi au bidhaa kwenye viwango vya juu Sana.
Pia program hii inakuwezesha kifanya chochote kinachohusiana na picha pamoja na kuedit picha ya namna yeyote.
Kumbuka matangazo yote ya kisasa ya picha huwa yanafanywa na hii program. Kwa Sasa maofsi mengi yanaitaji vijana wenye huu ujuzi na sisi hapa chuoni tunapata maofsi mengi wanaotuomba tuwapatie vijana wenye uj

27/05/2019

Karibu CCT kwa ofa maalumu, Computer course and English course 150,000 kwa miezi witatu

29/03/2019

ofa maalumu ya kusomea udreva na computer bure, jiunge na cct kwenye fani za hotel, tourism na uwalimu wa awali upate kutafutiwa ajira na upate ofa maalumu za komputa na udreva

Address

Dar Es Salaam
31671

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCT College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to CCT College:

Shortcuts

Share

Category