28/04/2023
MASSAGE GUN/ FASCIAL GUN
Kifaa hiki ni kifaa bora kabisa kwa ajili ya kufanya massage ya mwili wako..
■Faida za massage ziko nyingi sana na ninaweza kukupa faida kadhaa..
1. Kifaa hiki kitakuwezesha Kuleta mzunguko mzuri wa damu katika mwili.
2. Kuondolea Msongo wa mawazo unaosababishwa na ufanyaji mkubwa wa kazi.
3. Kuzuia viungo kuuma kutokana na uchovu.
4. Watu pia wenye matatizo ya kupata ganzi za mwili sababu ya mambo mbalimbali basi kifaa hiki ni rafiki mkubwa kwani kitaifanya mishipa ya damu kuweza kusafirisha damu kiurahisi zaidi na kuweza kuwa tiba ya matatizo yako ya mara kwa mara.
5. Wanamichezo pia na watu wa Gym kifaa hiki kitaondoa ukakamavu wa mwili na kuacha misuli yako safi kabisa.
6. Kuuburudisha mwili na kukufanya urelax
Price: 80,000/-
Cash On Delivery
Call/WhatsApp NO: 0679175244