FASDO YOUTH

FASDO YOUTH

Share

Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO)

Geographic location the community:

Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) is a Non-Government Organization with its headquarters at Kipungo street number 6A, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Information about the organization:

FASDO was established in 2009 and registered by the Ministry responsible for home affairs under non-government organization law section 56 of Tanzania. The

25/08/2024

Uongozi wa FASDO YOUTH tunatoa pole sana kwa Familia ya Marehemu C.stanley K**ana. Kwa kuondokewa na mpendwa wetu Bi. Ezenia K**ana. Ambae Kwetu sisi marehemu Alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Taasisi yetu ya Fasdo, Mchango wake kwetu ulikuwa ni mkubwa sana katika kila hatua. Hakika kila nafsi Itaonja Umahuti.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE

Photos from FASDO YOUTH's post 07/07/2024

Miezi 6 inatosha kuwa fundi, kinachatakiwa ni wewe kijana Kuja kujiunga nas FASDO YOUTH Tunafundisha kwa vitendo kumpa uwezo mzuri mwanafunzi hata k**a ameishia darasa la saba au elimu ya juu.
Wasiliana nasi;
Simu: +255699499942
+255716241000
Wote mnakaribishwa sana
Mafunzo yetu ni bure kabisa.
"Mwenye ujuzi halali njaa"

13/06/2024

FURSA FURSA FURSA!!!

MAFUNZO YA USHONAJI!!

- Karibu upate Mafunzo ya Ushonaji BURE
- Mafunzo yetu Yatakusaidia KUTENGENEZE kipato chako pale tu, utakapo tumia muda wako kwa Usahihi katika kujifunza
- Sisi K**a Shirika Tutakusaidia na kuhakikisha unajifunza vizuri na kuhitimu Mafunzo yetu.
HUDUMA HII NI BURE.

KWA MAWASILIANO: 071624100/ 0699499942.

14/10/2023

Heri ya sikukuu ya kumbukizi ya Mw. Julius Kambarage Nyerere.

12/10/2023

Tarehe 28/ 9/ 2023 Taasisi Yetu imeweza kutimiza Miaka 14 toka kuanzishwa kwake. Tunawashukuru wadau wote ambao tupo nao katika miaka hii yote. Malengo yetu k**a shirika bado yapo pale pale ya kukuza kuvumbua vipaji.

31/08/2023

Pumzika kwa Amani, Daima tutakukumbuka .

Photos from FASDO YOUTH's post 03/08/2023

Umehitimu Darasa la saba au kidato cha nne?
Ungependa kujifunza kozi itakayokupa ajira kwa haraka? K**a jibu ndio Njoo sasa Fasdo ndo mkomboni wako kwasasa.
Tunatoa Mafunzo kwa muda mfupi tena bure kabisa. tunatoa kozi mbili kwako wewe kijana kozi ya kushona na kozi ya kudarizi.

1.Mafunzo yetu ya Ushonaji na ubunifu wamavazi na mitindo. Unachukua mwaka mmoja, baada ya hapo unapata cheti chako.

2. Mafunzo yetu ya kudarizi nguo zote unachukua mwaka mmoja, baada ya hapo unapata Cheti chako.

NJOO UJINGE NASI KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ZETU: +255699499942 AU 0688 997596.

Photos from FASDO YOUTH's post 30/07/2023

FASDO CUP 2023.

Michuano ya Vijana chini ya miaka 20 imekamilika siku ya jana, ambayo ilikuwa ikifanyika Katika Kijiji cha Kidugalo Wilayani Kisarawe. ZEGERO SM na KIDUGAL SM ndo Team ambazo ziliweza kuingia final na Team ya ZEGERO SM iliweza kushinda 2 - 1 KIDUGALO SM. Mabingwa wa Kombe ili waliweza kukabidhiwa Zawadi yao na MH. DIWANI Musa KuniKuni na Mkurugenzi wa Fasdo Tedvan Nabora

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Kipungo Street
Dar Es Salaam