04/01/2018
Tunaendelea kusajili Watoto kwa mwaka wa Masomo 2018 utakaoanza Jumatatu ya tarehe 8, NAFASI zimebaki chache njoo uchukue form shuleni.
Ada zetu nafuu utalipa kila mwezi,huduma za usafiri na chakula zinapatikana.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mkuu wa Shule,
Mwl. Hamis Mgonda
Simu: 0659 92 62 62.