21/08/2026
Habari Njema kwa wakazi wa Kinyerezi, na maeneo jirani.
Ikiwa hauna uhakika juu ya mwanao, k**a atayazoea haraka mazingira yetu, huu ndio wakati sahihi wa kujiridhisha.
Karibu kwenye Free Trial Programu, mlete mwanao ajaribu huduma zetu, kisha utakuwa na nafasi nzuri ya kufanya chaguo sahihi juu ya mtoto wako.
👼UMRI 1-5
Tupigie / WhatsApp
0719 884 169
0677 007 354
Au gusa link kwenye bio 👆
📍 Kinyerezi, Mtipesa - Dar es Salaam
Let's play, learn and Grow Together 🪴