29/04/2024
Mathayo 3
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁵ Ndipo walipomwendea , na , na za ya Yordani;
⁶ naye katika mto wa Yordani, huku dhambi zao.
katika siku ya ubatizo wa Yohana walihudhuria miji hii 👉 . Yeru-salemu wote
. uyahudi wote
nchi zote zilizoko kando ya Yordani yaani hizi 👉Lebanon, Syria , Israel, Yordani.
na kutoka Yerusalemu Hadi mto Yordani ni 140km sawa na masaa 153.619 Kwa kutembea Kwa Miguu , 😆
sasa imeandikwa nchi zote walienda kubatizwa, nakuuliza
hivi NCHI za zamani walikuwa wakiishi watu wawili tu😄 hivi nchi zaidi ya 4 zote ziende kubatizwa, hivi mkoa mmoja wa Yerusalemu una watu wangapi ,
Bethlehem yote ya uyahudi Ina watu wangapi enzi hizo au walikuwa 10 tu❓ 🤔
sasa niambie k**a hayo mambo ni halisi ❓ Yohana wadhani alikuwa mtu wa namna Gani hata hastahimili kubatiza watu wote nchi zote 4 na Bethlehem na Israel 🤔❓
huoni k**a haiwezekani watu watuana ❓🤔Mbona kusoma sio kazi , kazi ipo kwenye kutafakari na kufahamu yaliyo andikwa ❗ 😄😆hapa ndipo panawaangusha watu Wengi wenye ROHO MTAKATIFU makanisani 👉💒⛪💒
SOMA UTAFUTE KUFAHAMU ACHA KIBURI WAKATI HUJUI KITU WALA NJIA YA UZIMA..