03/06/2026
Leo wanafunzi wa Nyaishozi College walipata fursa ya kutembelea Heameda Hospital kwa lengo la kuongeza ujuzi wa vitendo na kujifunza zaidi kuhusu mazingira halisi ya kazi katika sekta ya afya.
Tunajivunia kuwajengea wanafunzi wetu maarifa, uzoefu na umahiri unaohitajika katika taaluma zao.