Nyota Academy

Nyota Academy Nyota Academy is a team of professional teachers who aim at providing Academic assistance in various

Habari njema kwa wakazi wa Dar es  salaam. . . NYOTA ACADEMY tunakutangazia kuwa tumeanza kufundisha masomo ya kidato ch...
28/11/2020

Habari njema kwa wakazi wa Dar es salaam. . .
NYOTA ACADEMY tunakutangazia kuwa tumeanza kufundisha masomo ya kidato cha TATU kwa vijana waliomaliza kidato cha PILI mwaka huu...

Bei zetu ni nafuu sana...

Tunapatikana Buguruni rozana jirani na chuo cha ufundi cha Bruno.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia ....

0757670986 /
0712152528 /
0621023893 .

Kila la kheri kidato cha pili 2020
08/11/2020

Kila la kheri kidato cha pili 2020

Pre-form One 2020.... On progress ... Mwanafunzi atapatiwa T-shirt na kitabu .... Tutafundisha kwa njia ya audiovisual n...
10/10/2020

Pre-form One 2020.... On progress ... Mwanafunzi atapatiwa T-shirt na kitabu .... Tutafundisha kwa njia ya audiovisual na cards.. Pamoja na njia za kawaida karibuni sana.. Mawasiliano 0757670986 au 0712152528

Pre-form one!!!!
09/10/2020

Pre-form one!!!!

Tunapenda kuwataarifu Wazazi/ Walezi wa vijana wanaotarajia kumaliza darasa la saba mwaka 2020 kua tutakua na mafunzo ma...
30/09/2020

Tunapenda kuwataarifu Wazazi/ Walezi wa vijana wanaotarajia kumaliza darasa la saba mwaka 2020 kua tutakua na mafunzo maalum ya kuwaandaa vijana wao kujiunga kidato cha kwanza.

Siku ya mtoto wa Afrika 2020. Kauli mbiu ... "Mtoto ni Msingi wa Taifa endelevu: Tumtunze, Tumlinde na Kumuendeleza".Ndu...
16/06/2020

Siku ya mtoto wa Afrika 2020. Kauli mbiu ... "Mtoto ni Msingi wa Taifa endelevu: Tumtunze, Tumlinde na Kumuendeleza".

Ndugu mzazi/mlezi muandae mtoto kurejea shuleni mnamo jumatatu ya tarehe 29/6/2020.
Baada ya tamko kutolewa na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Mpatie mwanao nakala yake kwa Tsh 5000 tu. Apate kujiaandaa vyema katika mtihani wake wa kidato cha pili... Ukihitaji na...
11/05/2020

Mpatie mwanao nakala yake kwa Tsh 5000 tu. Apate kujiaandaa vyema katika mtihani wake wa kidato cha pili... Ukihitaji nakala wasiliana nasi kwa kupitia namba 0784 24 61 28.

Sisi ni zao la UDOM... Zao ambalo hii nchi ilipanda porini ... Zao limechipua na kukua zaidi ya mbuyu... Sisi ni walimu ...
07/05/2020

Sisi ni zao la UDOM... Zao ambalo hii nchi ilipanda porini ... Zao limechipua na kukua zaidi ya mbuyu... Sisi ni walimu kutoka UDOM na kitu pekee tulichofundishwa kufanya ni kufundisha kwa ufanisi katika hali yoyote. Leo kuna maradhi ya Corona sisi tunafundisha kwa njia ya mtandao ... kwasababu tulifundishwa kufundisha kwa ufanisi ... .

Mathematics.... Sample   studies content....
24/04/2020

Mathematics.... Sample studies content....

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.  kumi kwa wiki (Vipindi viwili kwa siku)  # Jumla ya masomo na...
18/04/2020

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.

kumi kwa wiki (Vipindi viwili kwa siku) # Jumla ya masomo nane # Mtihani siku ya jumamosi

# Masomo yameandaliwa na walimu wenye uzoefu na weredi wa kutoa elimu kwa njia ya mtandao.

Kujiunga na huduma zetu, wasiliana nasi kupitia namba 0784 246128 au 0757 670986

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.- Katika wiki kuna vipindi kumi ambapo kila siku kuna vipindi v...
17/04/2020

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.

- Katika wiki kuna vipindi kumi ambapo kila siku kuna vipindi viwili (asubuhi na jioni).

- Jumla ya masomo yanayotolewa ni nane (8), k**a ratiba tulizozitoa zinavyoonesha.

- Siku ya jumamosi kijana atapatiwa mtihani, atakaoufanya na kusahihishiwa akiwa hapo hapo nyumbani.

- Matini yanaandaliwa na walimu wazoefu na wenye weredi wa kutoa elimu kwa njia ya mtandao.

- Masomo haya yatatolewa kwa njia ya mtandao kupitia email au Whatsapp.
- Kwa mawasiliano tafadhali tuwasiliane kupitia namba 0784 24 61 28 au 0757 67 09 86.
Tufatilie pia kupitia Instagram account yetu ambayo ni nyotaacademy

Ratiba ya masomo ya mtandaoni... Wakati huu wa janga la Corona.Huduma zetu za masomo kwa mtandao zinatolewa kwa gharama ...
17/04/2020

Ratiba ya masomo ya mtandaoni... Wakati huu wa janga la Corona.
Huduma zetu za masomo kwa mtandao zinatolewa kwa gharama nafuu mno.
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0784 24 61 28. Au 0757 67 09 86.
Jihadhari na Corona kwa kutulia nyumbani.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyota Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nyota Academy:

Shortcuts

Share

Category