Elimu konnect

Elimu konnect

Share

Elimu Konnect is a professional student recruitment agency helping students in Africa to get scholarship and affordable universities to study in China.

Photos 17/07/2019

FURSA YA MASOMO NCHINI CHINA KWA UDHAMINI ( )
Kwa wahitimu wote wa kidato cha sita pamoja na stashahada wenye ndoto za kusoma masomo yao ya shahada nchini CHINA, Elimu konnect ipo kwa ajili yako.
Tunapenda kukutangazia fursa ya kipekee kabisa ya masomo nchini kwa udhamini ( ). Udhamini ( ) ni kwa masomo ngazi ya:
Shahada (Bachelor Degree)
Chuo - Shanghai

Timiza ndoto na malengo yako ya kimaisha kwa kupata Elimu bora kutoka kwenye vyuo vikuu vyenye hadhi ya kimataifa nchini CHINA.
wataalamu wa utafutaji nafasi za vyuo na udhamini wa masomo nje ya nchi.
Tunapenda kukutangazia fursa za masomo nchini kwa udhamini ( ). Udhamini ( ) ni kwa masomo ngazi ya:

1. Shahada (Bachelor Degree)
2. Uzamili (Master’s Degree)
3. Uzamilifu (P.H.D)

Katika mwaka wa masomo (intake) September 2019.
TUPIGIE – 0776 666 110, NAFASI NI CHACHE.

Endelea kufuatilia zetu kujua mengi zaidi.

#

17/07/2019

The vision is to see that every young man and woman in Africa who is qualified enough gets provided with an opportunity to acquire world class high education. We’ve come, We’ve seen and now back and in the mission to disrupt the norms.

Photos from Elimu konnect's post 17/07/2019

Tunashukuru kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika mkutano wa vyuo vikuu nchini China 🇨🇳 nakupata nafasi ya kuzungumza na vyuo mbali mbali juu ya kuongeza idadi ya nafasi za wanafunzi kutoka nchini Tanzania 🇹🇿

Photos from Elimu konnect's post 17/07/2019

Uongozi wa Elimu Konnect ulipata fursa ya kushiriki mkutano wa vyuo vikuu nchini China. Mkutano huu ulihusisha vyuo zaidi ya 200 vya nchini China pamoja na vyuo zaidi ya hamsini kutoka sehemu mbalimbali duniani. Tunashukuru kupata nafasi hii kuiwakilisha Tanzania ili kuongeza fursa kwa wanafunzi nchini kupata udhamini wa masomo ya juu nje ya nchi.

17/07/2019

Our student OCKU KITINYA admitted to Shenyang University of chemical technology leaving the country to China 🇨🇳 to pursue his bachelor degree in Pharmaceutical Engineering. We are humble to help him secure his scholarship.

15/02/2019

FURSA YA MASOMO NCHINI CHINA KWA UDHAMINI ( )

Elimu konnect wataalamu wa utafutaji nafasi za vyuo na udhamini wa masomo nje ya nchi.
Tunapenda kukutangazia fursa za masomo nchini kwa udhamini ( ). Udhamini ( ) ni kwa masomo ngazi ya:

1. Shahada (Bachelor Degree)
2. Uzamili (Master’s Degree)
3. Uzamilifu (P.H.D)

Katika mwaka wa masomo (intake) March 2019.
TUPIGIE – 0776 666 110, NAFASI NI CHACHE.

Endelea kufuatilia zetu kujua mengi zaidi.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Coca Cola Road, Mwenge
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00