π€ͺ
Fursa za Maendeleo Tz
hii ni page ambayo inatowa mafunzo ya maisha na hamasa na ushauri wa kimaisha ni bure nyote mnakaribishwa
Work hard
Kesho yako ni wewe
Go..
πΆββοΈπΆββοΈπ©βπ¦½
Maendeleo ni wewe mwenjeo
Furaha yangu nikukuona
Wewe unafanikiwa
Katika jambo lako
24/10/2021
Penda kujifunza kila siku
Fursa za Maendeleo Tz hii ni page ambayo inatowa mafunzo ya maisha na hamasa na ushauri wa kimaisha ni bure nyote mnakaribishwa
19/10/2021
Aza leo usingoje kesho
05/10/2021
Tanzani ni taifa lenye fursa nyingi za kimaendeleo jee ulisha wahi kujiuliza upo kwenje fursa gani na k**a haupo kwenje fursa yoyote ni Dm nikupe fursa tano bure uwanzee nazo π
01/09/2021
Ifanye siku yako iwe mpya ili ufikie ndoto zako
01/09/2021
Bajeti ni muhimu katika matumizi ya fedha zako
01/09/2021
Siku zote tunapanda ndio tunakuja kuvuna badae ndo ilivyo na maisha yanataka ivyo banda hakiba yako ya fedha leo uje uvune kesho
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Address
Dar Es Salaam