11/11/2025
Ennovate Ventures, kwa kushirikiana na Enabel chini ya EU-funded Green & Smart Cities Programme, inawawezesha wajasiriamali kupitia Anchor Firms: Investment Readiness Programme.
Kwa miezi 12, Program hii inakupa:
💡 Uchambuzi wa biashara yako
âš¡ Kuongeza kasi ya ukuaji kulingana na mahitaji
✅ Uhakiki wa kibiashara na upatanishi na wawekezaji
K**a kampuni yako ina suluhisho zenye uwezekano wa kukua katika nishati safi, kilimo, au maendeleo ya miji, hii ni nafasi yako ya kupata uwekezaji na kukuza biashara yako.
📅 Maombi yapo wazi mpaka: Novemba 15, 2025
Omba hapa: https://ennovateventures.co/anchorfirms