School of Journalism and Mass Communication: UDSM

School of Journalism and Mass Communication: UDSM SJMC In 1981, the TSJ was established by an Act of Parliament No. 8. Currently, 300 students are enrolled in various programmes.

The history of the School of Journalism and Mass Communication (SJMC) goes back to 1975 when it was established by the government as Tanzania School of Journalism (TSJ) offering a two-year Diploma in Journalism. With the liberalization of the economy and politics in the 1990s, Tanzania witnessed a tremendous growth of both private and public media. The TSJ could no longer keep pace with the increa

sed demands for highly trained journalists and media workers. In March 2002, a decision was made to integrate the TSJ into the University of Dar es Salaam. This led to the establishment of the Institute of Journalism and Mass Communication (IJMC) in July 2003 by the University Act of Parliament No.12 of 1970. This move enabled the IJMC to offer Bachelor degree programs in Journalism, Mass Communication as well as Public Relations and Advertising. In recent years, the University of Dar es Salaam has been undergoing through a process of restructuring its academic organs in order to ensure efficient delivery of the programmes. It is in this context that in April 2009, the IJMC was transformed into a School of Journalism and Mass Communication (SJMC). By being a School of the University of Dar es Salaam, the SJMC is granted more autonomy to become the leading media training institution in the country. The SJMC currently offers the following programmes:

* Certificate in Journalism
* Bachelor of Arts in Journalism
* Bachelor of Arts in Mass Communication
* Bachelor of Arts in Public Relations and Advertising
* Postgraduate Diploma in Mass Communication
* Masters of Arts in Mass Communication

Prof. Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu leo walikuwa SJMC kuendesha mhadhara wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu A...
06/12/2022

Prof. Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu leo walikuwa SJMC kuendesha mhadhara wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu Azimio la Dar es Salaam juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji (DEFIR)

Akifungua mhadhara huo Dkt. Mona amewataka washiriki wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo kutumia fursa hiyo ya kipekee kujifunza na kuifanyia kazi elimu watakayoipokea.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  kinafanya utafiti fuatilizi (tracer study) ili kifanye upitiaji wa programu zinazotolewa k...
04/12/2022

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinafanya utafiti fuatilizi (tracer study) ili kifanye upitiaji wa programu zinazotolewa katika vitengo vyake mbalimbali.

Dr. Mona Mwakalinga, Dean na Dr. Gidion Kamfipo tunakuomba ujaze e-dodoso letu k**a wewe ni mhitimu wetu wa B.A, na M.A (Journalism, PRA na Masscommunication) ili tupate maoni yako kuhusiana na programu tunazotoa.
Maoni yako ni muhimu sana. Tunakuhakikishia kwamba taarifa zako zitakuwa kwa ajili ya zoezi husika tu.
Maoni yako yatatusaidia wakati wa kupitia programu zetu zetu.

Zoezi la kujaza *e-dodoso* litachukua muda kidogo ila tunaomba ujitahidi mpaka ufike mwisho na umetuma.

NB: Uanzapo kujaza page ya kwanza ukishachagua SJMC bonyeza "view SJMC survey" na usibonyeze kwenye Next iliyopo page hiyo ya kwanza.

Kwa changamoto Mpigie Fanuel Hume - 0782549992

Karibu ujaze e-dodoso kwa kufuata *kiunzi (link)* hapo chini.

*Asante sana kwa ushirikiano wako.*

https://edodoso.gov.go.tz/index.php/828257

JAMII FORUMS YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI WA SJMC KUHUSU USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MICHAKATO YA KIDEMOKRASIA NCHINIUon...
02/12/2022

JAMII FORUMS YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI WA SJMC KUHUSU USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MICHAKATO YA KIDEMOKRASIA NCHINI

Uongozi wa Asasi ya kiraia inayohusika na uchechemuzi katika haki za kidigitali,kiraia,kidemokrasia,utawala bora na uwajibikaji (JAMII FORUMS) imeendesha na inatarajia kuendelea muendeshamijadala endelevu na fikra mbadala kwa vyuo takribani 8 ndani ya kipindi cha miezi 6 katika kutatua changamoto mbalimbali za vijana kwenye jamii.

Akizungumza Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo wakati akiwa katika shule kuu ya uandishi wa habari ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambapo Jamii Forums iliandaa mdahalo wa vijana uliohusu nafasi na ushiriki wa vijana katika michakato ya kidemokrasia nchini amesema wamelenga kuandaa mijadala endelevu na fikra mbadala vyuoni ili kuwafanya vijana wawe na uvumilivu hususani kwenye siasa na uwezo wa kufikiri zaidi katika utatuzi wa changamoto za jamii
Aidha Max amesema Uongozi wa Jamii Forums umefarijika kutoa elimu ya kutosha kwa vijana chuoni hapo kuhusiana na demokrasia na kuongeza kuwa ushiriki wa vijana katika mdahalo huo umekuwa mpana zaidi kutokana na elimu waliyoipata katika mdahalo huo.

Grace Mdoe mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika shule kuu ya uandishi wa habari amesema kupitia warsha hiyo chuoni hapo wamepata fursa ya kuzungumza na kuwaondoa woga wa kupaza sauti zao kwenye jamii
Vilevile wanafunzi hao wamekiri kuwa kupitia ujio wa jamii forums chuoni hapo wamejifunza vyema namna ya kuwasilisha mawazo yao mbele za watu katika hafla mbalimbali

Dr. Judith Wanda na Dr. Victor Eliah wamehitimu shahada za Uzamivu katika Fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa ...
30/11/2022

Dr. Judith Wanda na Dr. Victor Eliah wamehitimu shahada za Uzamivu katika Fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma

Hongera Dk. Issa Mbura kutunukiwa PhD leo kwenye mahafali ya 52.
30/11/2022

Hongera Dk. Issa Mbura kutunukiwa PhD leo kwenye mahafali ya 52.

Tanzia
14/09/2022

Tanzia

Congratulations
26/08/2022

Congratulations

Welcome
25/08/2022

Welcome

18/07/2022
 #60 years UDSM anniversary🔥
29/06/2022

#60 years UDSM anniversary🔥




Address

Makaburi Street
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255222700756

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when School of Journalism and Mass Communication: UDSM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to School of Journalism and Mass Communication: UDSM:

Shortcuts

Share