25/08/2026
MAHAFALI BORA YA DARASA LA SABA NA SHULE YA AWALI 2026
_
Asanteni wote kwa Kushiriki nasi katika Mahafali ya Darasa la Saba na Shule ya Awali 2026, hakika yote haya ni kwa Utukufu wa Mungu!
Picha za matukio mbalimbali katika Mahafali ya Darasa la Saba na Shule ya Awali 2026. Hongera sana Wahitimu wote, Asanteni Wazazi na Walezi, Asanteni Wageni Waalikwa, Asanteni sana Walimu wote, Mungu Awabariki.
Hakika Mahafali ya Darasa la Saba na Shule ya Awali 2026 sasa Yamefanyika Tanzania!
Tupigie au WhatsApp namba 0735510003 au 0754698845
#2026
Follow us
St. Matthew's Schools
St. Matthew's Schools
St. Matthew's Schools