Prepare for University

Prepare for University Prepare For University Aims at Imparting skills to high school students on how to excel in their Exams and How to Choose the Best Carrier

PREPARE FOR UNIVERSITY PROGRAM(A way towards your academic goals)Kazi yetu kwa wanafunzi ni;-1. Kuelimisha wanafunzi, ha...
04/07/2018

PREPARE FOR UNIVERSITY PROGRAM
(A way towards your academic goals)

Kazi yetu kwa wanafunzi ni;-

1. Kuelimisha wanafunzi, hasa wahitimu wa kidato cha 6.
Maarifa yatakayomsaidia mwanafunzi katika safari yake kuelekea chuoni, akiwa chuoni na baada ya chuo.

2. Kuwakutanisha na kila fursa inayolenga wanafunzi.
Zipo fursa za kitaaluma, kijamii,nk zilizoelekezwa kwa wanafunzi, lakini walengwa hawazifahamu. Tupo kuwakutanisha.

3. Kuwakutanisha na wataalamu waliowatangulia katika taaluma wanazozielekea.
Kwa lengo la kuifahamu taaluma husika kwa undani, kupata mentorship juu ya career husika na kufahamu fursa zilizopo katika taaluma husika.

4. Kuwapa taarifa sahihi zinazohitajika na wanafunzi katika safari yao kuelekea vyuoni.
Kutokana na mabadiliko ya Mara kwa Mara ya mifumo ya udahili, mikopo, nk. Sisi tupo kumpatia taarifa sahihi zitakazomsaidia Mwanafunzi kufanikisha mchakato mzima wa kuelekea chuo.

_______________________________________________
PREPARE FOR UNIVERSITY EVENT, 2018.

(Theme: Transform Youth Transform Nation)

Katika picha , ni wahudhuriaji na wanakamati katika tukio lililofanyika jumamosi ya tarehe 30, June 2018. Katika chuo kikuu cha Dar es salaam.

Tulipata nafasi ya kujifunza.
1. CAREER CHOICE & SELECTION
Lilifundishwa na Eng. Emmanuel Mahenge
2. CAMPUS LIFE
Lilifundishwa na JOEL NANAUKA
3. ROLE OF ELITES IN NATIONAL DEVELOPMENT.
Lilifundishwa na Dr.Abel Kinyondo

Tulipata nafasi ya kuwasikia wawakilishi wa taasisi na makampuni mbalimbali yanayojihusisha na wanafunzi. Ikiwemo
1. HIGHER EDUCATION STUDENTS LOANS BOARD (Bodi ya mikopo)
2. SOMAAPPS Company
3. TANZAPROUD
4. AFRICA SUCCESS ACADEMY

Tukutane PREPARE FOR UNIVERSITY EVENT, . 2019 (Mwakani)
_____________________________________________________
Mawasiliano;
Fb page: Prepare For University
Instagram: prepare for university
Email: [email protected]
Contacts: 0757510857

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prepare for University posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share