Mtumba English

Mtumba English 12+ yrs in Helping Professionals Overcome Anxiety and Speak with Confidence | Your Brother In English šŸ¤

05/06/2026

Hivi ndivyo unapaswa kuzungumza pale unapokuwa kwenye mazungumzo rasmi.

04/06/2026

Ukweli ni kwamba huwezi jua kuongea kiingereza kwa miezi mitatu UNLESS upo kwenye programs zetu ambapo tunafanya yafuatayo.

1. Unaingia zaidi ya kipindi kimoja kwa siku - Ili uongee kiingereza unahitaji kuwa na zaidi ya kipindi kimoja kwa siku hii itaongeza kasi yako ya uelewa na kukujenga kwa muda mfupi zaidi.

2. ⁠Kipaumbele kiwe kuongea - Kwenye programs zetu mtu ana anza programs za kuongea siku ya kwanza anapoanza hii inafanya mtu azoee kuongea mapema.

3. Vipindi vingi vya kuongea - Kwenye programs zetu kuna sessions za kuongea zaidi ya 10 kwa siku na mwanafunzi ana ruhusiwa kuingia vipindi vingi kadri anavyopata muda ili kujenga CONFIDENCE, FLUENCY & PRONUNCIATION

Tufuate WhatsApp sasa 0753 544 544 ili ufanyiwe LEVEL CHECK ya kujua level yako, programs unazotakiwa kufundishwa na ada.

03/06/2026

Hizi ndio sehemu ambazo unapaswa kutumia GOOD IN, jifunze na utunge sentensi.

31/05/2026

Ukiwa kwenye kikao au mkutano hizi ndio sentensi nzuri kuanza nazo. Jifunze hapa na utunge sentensi

28/05/2026

Nini tofauti ya START & GET STARTED? Jifunze hapa na utunge sentensi.

Eid Mubarak, simu za pilau ziite ndugu zangu ukinialika nakuja na kitabu cha grammar mpaka namaliza pilau na wewe unakuw...
27/05/2026

Eid Mubarak, simu za pilau ziite ndugu zangu ukinialika nakuja na kitabu cha grammar mpaka namaliza pilau na wewe unakuwa ushapata chochote kitu WIN WIN 😁

26/05/2026

Zimepatikana nafasi chache kwa ajili ya programs za kiingereza cha kuongea (CONFIDENCE & FLUENCY) zinazo anza jumatatu yangu wiki ijayo. WhatsApp 0753 544 544 ufanyiwe level check tujue changamoto yako, programs unazotakiwa kujifunza na ada.

22/05/2026

Ukiachana na WILL kuna njia 4 za kuzungumzia wakati ujao ambazo zinatumiwa zaidi, jifunze hapa na utunge sentensi.

Mashabiki wa Arsenal tutembee makundi makundi maadui ni wengi sana huko nje.
21/05/2026

Mashabiki wa Arsenal tutembee makundi makundi maadui ni wengi sana huko nje.

20/05/2026

Haha ndio matumizi sahihi ya ā€œWhomā€ jifunze hapa na utunge sentensi.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtumba English posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category