Mlima wa Isaka Miracle Centre

Mlima wa Isaka Miracle Centre MIMC this is the Ministry under Apostle Joshua Protus. Mission of MIMC is:- To show the power, natur

I have reached 500 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰
30/03/2024

I have reached 500 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Apostle Joshua ProtasNeno la mwaka 2024Ni mwaka wa malaika kutenda kazi ndani ya wanadamu ,mwaka huu Mungu atakufuta kil...
01/01/2024

Apostle Joshua Protas

Neno la mwaka 2024

Ni mwaka wa malaika kutenda kazi ndani ya wanadamu ,mwaka huu Mungu atakufuta kila chozi k**a alivyowatetea kuwatoa Meshaki na Abednego kwenye tanuli la moto, kwa namba nne, yule malaika alipokuja wakawa wanne moto hauku washinda ndivyo itakavyokuwa kwako mwaka huu ,kila moto wa machungu uliopitia utahusahau .Mungu atakuvalisha heshima kwenye maisha yako.Namba nne ni namba ya malaika kutoka mbingu talajia mambo mazuri kutoka mbinguni Mungu atakusaidia.

Mathayo 24:31

Jumapili Ya Kwanza Ya Mwaka 2022 Mwaka Wa Haki... Haki Huinua Taifa Mwaka Huu Ni Kutawala Wenye Haki.
02/01/2022

Jumapili Ya Kwanza Ya Mwaka 2022 Mwaka Wa Haki... Haki Huinua Taifa Mwaka Huu Ni Kutawala Wenye Haki.

Mkesha Wa Kuukaribisha Mwaka Mpya 2022
01/01/2022

Mkesha Wa Kuukaribisha Mwaka Mpya 2022

Jumapili Tar 17 Hitimisho Ya Semina Ya Roho Mtakatifu ... Mungu Ametenda Tena πŸ˜‡
18/10/2021

Jumapili Tar 17 Hitimisho Ya Semina Ya Roho Mtakatifu ... Mungu Ametenda Tena πŸ˜‡

Jumapili Ya Baraka Ibada Ya Mafuta Ya Kibali Mungu Yuko Kazini πŸ’ͺ
29/08/2021

Jumapili Ya Baraka Ibada Ya Mafuta Ya Kibali Mungu Yuko Kazini πŸ’ͺ

Madhabahu Ya Betheri International Church Inakualika Kwenye Maombi Na Mfungo Kuombea Taifa Ni Mfungo Wa Week Nzima Mwish...
17/08/2021

Madhabahu Ya Betheri International Church Inakualika Kwenye Maombi Na Mfungo Kuombea Taifa Ni Mfungo Wa Week Nzima Mwisho Itakuwa Jumapili!

Siku Ya Mwisho Ya Semina Ya Ukombozi Toka Kwenye Mzimu Ya Ukoo! Na Prophet Debora Toka Congo
16/08/2021

Siku Ya Mwisho Ya Semina
Ya Ukombozi Toka Kwenye Mzimu Ya Ukoo! Na Prophet Debora Toka Congo

Jaribu Lako Linavyoweza Beba Hatima Yako!! 1 Samweli 1-7
01/08/2021

Jaribu Lako Linavyoweza Beba Hatima Yako!! 1 Samweli 1-7

Nilikuja dar kwa ajili ya matibabu baada ya vipimo nikaambiwa Nina Moyo mpana natakiwa kufanyiwa operation Ila baada ya ...
27/07/2021

Nilikuja dar kwa ajili ya matibabu baada ya vipimo nikaambiwa Nina Moyo mpana natakiwa kufanyiwa operation Ila baada ya maombi siku ya operation nikapimwa tena nikaambiwa shida yangu sio kubwa nikapewa dawa tu!

Nipata tatizo kazini Mimi Ni Engineer nilianguka kwenye jengo nikavunjika uti wa mgongo... Nashukuru Mungu nimepona na n...
27/07/2021

Nipata tatizo kazini Mimi Ni Engineer nilianguka kwenye jengo nikavunjika uti wa mgongo... Nashukuru Mungu nimepona na ni mzima kabisa

Sunday Service Kwenye Madhabahu Ya Bwana Betheli International Church!
25/07/2021

Sunday Service Kwenye Madhabahu Ya Bwana Betheli International Church!

Address

Mbezi Makabe
Dar Es Salaam

Telephone

+255714512116

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlima wa Isaka Miracle Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category