Benjamin William Mkapa High School

Benjamin William Mkapa High School Benjamin William Mkapa High School ni Shule iliyopewa jina la rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh.

Benjamin William Mkapa kwa heshima kubwa na uthamini wa mchango wake katika ujenzi wa Taifa.Shule yetu ilianzishwa mwaka 1998 na kufunguliwa rasmi tarehe 1999

BWMHS School Government 2026/27
05/06/2026

BWMHS School Government
2026/27

Wiki ilopita 22-05-2026 siku ya ijumaa tulibahatika kutembelewa na madaktari bingwa kutoka China kwa ushirikiano na Muhi...
30/05/2026

Wiki ilopita 22-05-2026 siku ya ijumaa tulibahatika kutembelewa na madaktari bingwa kutoka China kwa ushirikiano na Muhimbili kupitia Taasisi ya KOVA FOUNDATION walitoa huduma ya vipimo mbalimbali vya afya bure kwa watumishi na wanafunzi.

29/05/2026
Wanafunzi wa kidato cha nne na baadhi ya walimu leo wamewatembelea watoto wenye changamoto za vichwa vikubwa na mgongo w...
29/05/2026

Wanafunzi wa kidato cha nne na baadhi ya walimu leo wamewatembelea watoto wenye changamoto za vichwa vikubwa na mgongo wazi katika hospiali ya Muhimbili taasisi ya Moi na wamewapatia mahitaji mbalimbali k**a vile pampas, minara, sabuni za kuogea, dawa za meno na juice na biscuits pamoja na kuwachangia malipo baadhi ya wagonjwa waliokwama kukamilisha kwa ajili ya kufanyiwa operation za vichwa vikubwa.

Anjela Minja Ex Benjamin W Mkapa High School (2021), ni mtanzania wa kwanza kucheza ligi ya Division 1 nchini Marekani.
07/05/2026

Anjela Minja Ex Benjamin W Mkapa High School (2021), ni mtanzania wa kwanza kucheza ligi ya Division 1 nchini Marekani.

   🔥
23/04/2026

🔥

Mkurugenezi   🔥
23/04/2026

Mkurugenezi 🔥

GNM Cargo aliahidi ametekeleza. Mkurugenzi mtendaji wa GNM Cargo alipofika shuleni hapa kutimiza ahadi yake ya kuleta pr...
21/04/2026

GNM Cargo aliahidi ametekeleza. Mkurugenzi mtendaji wa GNM Cargo alipofika shuleni hapa kutimiza ahadi yake ya kuleta projector mbili na kompyuta mpakato 10. Shukrani sana kwa GNM Cargo

Karibu sana siku ya tarehe 20260423 hapa Benjamin W Mkapa Sekondari kwenye uhamasishaji kwa wanafunzi juu ya umuhimu wa ...
21/04/2026

Karibu sana siku ya tarehe 20260423 hapa Benjamin W Mkapa Sekondari kwenye uhamasishaji kwa wanafunzi juu ya umuhimu wa kujifunza kozi za urubani. Sambamba na uzinduzi wa club ya urubani (Aviation Club).

21/04/2026

Rais wa wanafunzi 2019 (Hassan) Zao la Benjamin W. Mkapa Sekondari. 360

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 15:00
Tuesday 06:00 - 15:00
Wednesday 06:00 - 15:00
Thursday 06:00 - 15:00
Friday 06:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benjamin William Mkapa High School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Benjamin William Mkapa High School:

Shortcuts

Share

Category