COTi CDN is Television Media that covers hard news,sports news,features and programs,Its the first Netwo

https://youtu.be/ra5ZsA0JHCE
08/11/2018

https://youtu.be/ra5ZsA0JHCE

Maisha ni kitabu ila kila mmoja ana kurasa zake anazopitia,THE RAINBOW ni kipindi kinachokuletea historia za watu mbalimbali wakishare na wewe maisha waliyop...

Makala mpya toka CJ DOCUMENTARYKuipata na kuwa wa kwanza comment neno  comments zikifika mia naiweka hapa ruksa kushareC...
10/07/2018

Makala mpya toka CJ DOCUMENTARY
Kuipata na kuwa wa kwanza comment neno
comments zikifika mia naiweka hapa ruksa kushare
CJ DOCUMENTARY
***Knowledge that matters***

True facts
25/10/2017

True facts

ANGALIA PICHA HIZI PICHA MBILI KWA MAKINI...Hv kweli niache kuangalia fast and furious 8 niangalie tumbo la JB!?Bongo mo...
19/04/2017

ANGALIA PICHA HIZI PICHA MBILI KWA MAKINI...
Hv kweli niache kuangalia fast and furious 8 niangalie tumbo la JB!?
Bongo movie siasa itawaua na njaa zenu filamu mbovu story ikianza tu unajua itaisha vipi!?
Sasa hvi mnafanya seasons kisa mmeona zinauza ila bado story mbovu waigizaji uhalisia hakuna
Ray bado anapayuka kwenye movie kila siku Jb naye kubadilika hataki kila filamu yeye anawaka tu
Mzee magari ukimuona kwenye movie yeye jambazi au katili tu,Mhogo Mchungu ndevu hanyoi yani inshort filamu ya mwaka 2010 haina tofauti na ya mwaka 2017 kinachobadilika ni majina tu....
Jifunzeni jaman acheni kuandamana kisiasa



BONGO MOVIE HATA KUIGIZA KUNA CHETI KASOMENI KWANZA

HALAFU BADO WANATUFUNDISHA AMANIJuu ni nyumbani kwa kijana aliyetumwa na Bash*te kuandika wimbo wa kuwapumbaza wa Tz chi...
08/04/2017

HALAFU BADO WANATUFUNDISHA AMANI

Juu ni nyumbani kwa kijana aliyetumwa na Bash*te kuandika wimbo wa kuwapumbaza wa Tz chini hapo ni kwetu sisi tukidai haki wanatishia amani,hv nan ana power na mamlaka c wao wao ndio watavunja amani cyo sisi......tunamtaka Roma

Genius people finds unique answers
09/03/2017

Genius people finds unique answers

Mti mrefu baran Africa wagundulika moshi..Unafahamika kwa jina la mkukusu...Una urefu wa mita 90Upo katika hifadhi ya ml...
03/03/2017

Mti mrefu baran Africa wagundulika moshi..
Unafahamika kwa jina la mkukusu...
Una urefu wa mita 90
Upo katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro,Una umri zaidi ya miaka 600...
Unazungumziaje umri wa mti huu?

Such as true
20/02/2017

Such as true

19/02/2017

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Telephone

+255675114934

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when COTi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to COTi:

Shortcuts

Share

Category