24/12/2023
Je wewe ni mzazi unayehangaika mwanao asikae tu nyumbani ndani ya likizo hii??
Ace Schools wamekuandalia program ya *TAEKWONDO FOR KIDS* ambayo inalenga kuwapa mafunzo ya ukakamavu na nidhamu watoto jinsia yoyote katika kipindi chote cha likizo.
Faida za Taekwondo kwa watoto
-Kuimarika kwa afya pamoja na uwezo wa akili kupitia mazoezi
-Kujifunza kanuni za maadili na nidhamu
-Kujiamini na kujenga ujasiri hata watakapokabiliana na changamoto mbalimbali
-Kujenga ushirikiano
-Kujifunza uvumilivu na kupenda kushinda.
-Humsaidia kuwahi kujitambua
Usiruhusu mwanao akae tu nyumbani ni hatari kwa future yake, Mlete leo Ace school tumpe mafunzo na mbinu mbalimbali zitakazo msaidia maishani.
Tunapatikana tabata kimanga,kwa swai mnarani
Wasiliana nasi:0718 528 821