Ilala Islamic Secondary

Ilala Islamic Secondary Tunatoa elimu bora ya chekechea, msingi na sekondari kidato cha kwanza hadi sita. Mlete mwanao Ilala islamic apate elimu na malezi bora.

TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA NA KUHAMIA KIDATO CHA II, III NA V.
28/12/2025

TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA NA KUHAMIA KIDATO CHA II, III NA V.

Tunaendelea kupokea Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza na Kuhamia Kidato cha II, III na V
24/12/2025

Tunaendelea kupokea Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza na Kuhamia Kidato cha II, III na V

Mh Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa Mgeni Rasmi  katika Sherehe za Mahafali ya Kuwaaga Wa...
14/12/2025

Mh Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Mahafali ya Kuwaaga Wahitimu wa Kidato cha Nne zilizofanyika katika Viwanja vya Masjid Taqwa Ilala Bungoni. Ama hakika yalikuwa ni mahafali ya aina yake. Tunakushukuru sana Mheshimiwa Waziri kwa kujumuika nasi.

BADO TUNAPOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2026.
12/12/2025

BADO TUNAPOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2026.





Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano 2025. Wasiliana nasi UJIPATIE Fomu mapema sana ili upate muda wa m...
01/04/2025

Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano 2025. Wasiliana nasi UJIPATIE Fomu mapema sana ili upate muda wa maandalizi.



Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano mwaka huu 2025. Masomo yanaanza Julai 2025.
31/03/2025

Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano mwaka huu 2025. Masomo yanaanza Julai 2025.



Tunawatakia Eid Mubarak nyooote.Tumeshaanza kutoa fomu za Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025
30/03/2025

Tunawatakia Eid Mubarak nyooote.

Tumeshaanza kutoa fomu za Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

Tukumbuke Zakatul fitr
30/03/2025

Tukumbuke Zakatul fitr

Address

2055
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ilala Islamic Secondary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ilala Islamic Secondary:

Shortcuts

Share

Category