Ibnu Zakaria Kagimbo

Ibnu Zakaria Kagimbo Tunatoa Mafunzo ya kuulea moyo Kwa njia ya maandishi na videos

16/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI

Dua ya kutibu Maumivu ya Mgongo.

15/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu Maumivu ya tumbo kwa Maelekezo ya Ahlul-bayt a.s.

12/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu Mafua pamoja na Maumivu ya kichwa.

12/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu maumivu ya kichwa, kwa mapokeo ya Ahlul-bayt a.s.

Zakaria Kagimbo

03/05/2026

Mwenye kujibu kila analoulizwa ni Kichaa.

26/04/2026
26/04/2026

Sio aibu kuulizwa jambo ambalo huna elimu nalo ukasema sijui kuliko kutoa majibu yasiyo sahihi.

_Kagimbo

Kila kitu nilicho nacho maishani ni matokeo ya wema na rehema zako, Mungu wangu, na kwa hilo nataka kukushukuru kutoka n...
21/04/2026

Kila kitu nilicho nacho maishani ni matokeo ya wema na rehema zako, Mungu wangu, na kwa hilo nataka kukushukuru kutoka ndani ya moyo wangu.
Alhamdu-lillahi kwa kila Hali.

11/04/2026

Kila jambo unalotaka kulifanya lazima uwe na ujuzi nalo.

06/04/2026

Neema Za Allah

01/04/2026

Maneno ya kila siku mpya inapochomoza Alfajiri.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255718258356

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibnu Zakaria Kagimbo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category