Yalamlam Islamic Centre - YIC

Yalamlam Islamic Centre - YIC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yalamlam Islamic Centre - YIC, Education, 50000 Mbagala, chamazi, Dar es Salaam.

27/08/2023
Jamaa wa YALAMLAM  haoooo wanarejea sconga leo Kila la kheri wanangu (Maliha &Hudhaify)
03/07/2023

Jamaa wa YALAMLAM haoooo wanarejea sconga leo Kila la kheri wanangu (Maliha &Hudhaify)

Uongozi wa Yalamlam unawatakia kila la kheri watoto wetu rasmi kuanza std one 2020  in shaa Allah
01/12/2019

Uongozi wa Yalamlam unawatakia kila la kheri watoto wetu rasmi kuanza std one 2020 in shaa Allah

19/12/2018

TANGAZO!!! TANGAZO!!! TANGAZO

01/12/2018
Mashaa Allah leo tunawaaga vijana wetu waliohitimu masomo yao ya awali rasmi kwa kuanza std one
01/12/2018

Mashaa Allah leo tunawaaga vijana wetu waliohitimu masomo yao ya awali rasmi kwa kuanza std one

YIC at night
12/10/2017

YIC at night

Leo rasmi mapambano ya kuelimisha vijana wetu maadili mema yameanza kituo kimefunguliwa leo tarehe 3/7/2017 karibuni naf...
03/07/2017

Leo rasmi mapambano ya kuelimisha vijana wetu maadili mema yameanza kituo kimefunguliwa leo tarehe 3/7/2017 karibuni nafasi bado zipo. (Kauli mbiu yetu mzazi mlete mwanao ajifunze qur-an na sunna kabla ya Kujifunza WHATSAPP )

Hii ipo makhsusi kwa kuchukulia mahitaji ya watoto sokoni kwa maana nyingine  Kituo chetu cha YALAMLAM ISLAMIC CENTRE (Y...
15/02/2017

Hii ipo makhsusi kwa kuchukulia mahitaji ya watoto sokoni kwa maana nyingine Kituo chetu cha YALAMLAM ISLAMIC CENTRE (YIC) kimejipanga kuuhudumia jamii kwa uhakika

Hii ni Gari kwaajili ya dharura yeyote itokeapo aidha kwa kuumwa mtoto au kuumia au jambo lolote hapa kituoni kwetu YALA...
15/02/2017

Hii ni Gari kwaajili ya dharura yeyote itokeapo aidha kwa kuumwa mtoto au kuumia au jambo lolote hapa kituoni kwetu YALAMLAM ISLAMIC CENTRE

Msijali usafiri ndani ya Yalamlam madrassat & nursery school ni wa uhakika na wa kiwango k**a unavyojua hapa
15/02/2017

Msijali usafiri ndani ya Yalamlam madrassat & nursery school ni wa uhakika na wa kiwango k**a unavyojua hapa

Address

50000 Mbagala, Chamazi
Dar Es Salaam
50000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yalamlam Islamic Centre - YIC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Yalamlam Islamic Centre - YIC:

Shortcuts

Share

Category