Walimu WA Tanzania

Walimu WA Tanzania hiki ni kijiwe cha walimu walio kazini na wale wanaotegemea kuajiriwa hapa tutajadiri changamoto mbali mbali zinazo tukabili

Ukijishughulisha, ukapata wa kukusaidia, ukapata wa kumsaidia haki vile maisha utakua umeyapatia...hivi ndivyo ilivyokuw...
10/04/2023

Ukijishughulisha, ukapata wa kukusaidia, ukapata wa kumsaidia haki vile maisha utakua umeyapatia...hivi ndivyo ilivyokuwa last day night...!

muendelezo upo kwenye post ya kwanza...
26/04/2022

muendelezo upo kwenye post ya kwanza...

muendelezo soma post inayokuja
26/04/2022

muendelezo soma post inayokuja

kwa mliopata changamoto za kutuma maombi ya ualimu...toeni changamoto zenu hapa tusaidiane...!
25/04/2022

kwa mliopata changamoto za kutuma maombi ya ualimu...toeni changamoto zenu hapa tusaidiane...!

MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhu...
03/05/2021

MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2021.

28/04/2021
 Karibu   CENTER tukufundishe ujuzi wa kazi za nyumbani ili uweze kufanya kazi zako kwa welediJukumu letu kubwa ni kuwap...
06/12/2018


Karibu CENTER tukufundishe ujuzi wa kazi za nyumbani ili uweze kufanya kazi zako kwa weledi
Jukumu letu kubwa ni kuwapa elimu wafanyakazi wa kazi za nyumbani itakayowawezesha kujitambua na kufanya kazi zao kwa weledi.
USAFI BINAFSI NA AFYA 👉 Dada yeyote wa kazi Usafi wa mwili ni jambo jema sana na pia ni muhimu sana kujitunza.
🛑Dada anatakiwa anapoamka tu baada ya kumshukuru Mungu jambo linalofuata ni kuingia bafuni kuoga na kupiga mswaki vizuri. .
🛑Dada anatakiwa kuhakikisha muda wote amevaa nguo safi, aepuke kutoa harufu ya kuvuja jasho (asirudie kuvaa nguo ikiwa haijafuliwa) muda wote anatakiwa kuwa mkavu, achane nywele vizuri au asuke vizuri.
🛑Dada anatakiwa akifanyie usafi kila siku chumba anacholala na kupanga vitu vizuri ikiwemo kukunja na kupanga nguo zake
🛑Dada anatakiwa kuhakikisha anajitunza vizuri wakati wa hedhi azingatie usafi ili asitoe harufu mbaya nyakati hizo.
🛑Dada anatakiwa kujikinga juu ya magonjwa mbalimbali ikiwemo HIV/AIDS pamoja na kuepuka msongo wa mawazo kutokana na changamoto mbalimbali anazokutana nazo kazini na azitumie hizo changamoto kujitathimini na kujipanga vizuri.
Cc
Programm manager
Karibu
PIGA SIMU 0783137777



Group La Whatsapp. La Wajasiliamali https://chat.whatsapp.com/J0GWSoNeryV3WuFnuekxx1   na   tunatoa mafunzo ya ujuzi wa ...
24/11/2018

Group La Whatsapp. La Wajasiliamali
https://chat.whatsapp.com/J0GWSoNeryV3WuFnuekxx1

na tunatoa mafunzo ya ujuzi wa kutengeneza vitu mbalimbali kutengeneza batiki ni moja kati ya mafunzo yatakayofanyika ambapo mafunzo mengine yatakayotolewa ni pamoja na .
Mafunzo ya Urembo wa Shanga aina mbalimbali. .
Urembo wa Nyumba na Mapambo mbalimbali ya Sherehe.
Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara, Kinga ya magonjwa.
Kutotolesha Vifaranga vya kuku bila kutumia mashine ya Umeme, na jinsi ya kuwakuza baada ya kutotolesha.
Ufugaji Samaki aina ya Sato, lishe ya samaki inayo mfanya samaki awe na kilo moja ndani ya Miezi 5-6. .
Wine za Matunda yote! .Kutengenza Ice cream Nzuri

Sabuni za Maji aina zote zenye kiwango kinachokubalika sokoni.
Chill source bora kabisa yenye mchanganyiko wa viungo, Tomato source na Nyanya Ya kopo. .
Dawa ya Madoa.
Mapishi k**a Nyama ya foil, Supu, mchemsho, supu ya Maboga, uyoga, madanzi ya N**i, chapati laini, sekela huyu ni kuku anayechomwa kwa ufundi
DAR ES SALAAM kila siku j3 hadi ijumaa katika ofisi za Tegeta
KWA MAWASILIANO NA KUJISAJILI TUMIA NAMBA 0783137777 bonyeza link kujiunga na group la whatsapp
https://chat.whatsapp.com/J0GWSoNeryV3WuFnuekxx1

Hongera  kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya KISARAWE
28/07/2018

Hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya KISARAWE

Address

Dar Es Salaam
TZ

Telephone

+255653688004

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Walimu WA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category