12/03/2014
INAUZWA TAFADHALI, email: [email protected]
New Reservation Portal ni system mpya kwa ajili ya kazi za kitali.
Inafanya kazi zifuatazo:
1.Unaweka maeno yako yote unayotaka wateja wako (watalii) wayaone kwa ajili ya utalii mfano, Kilimanjaro, Serengeti, Mikumi n.k . Unaweza weka mengi utakavyo.
2.Inauwezo wa kumweza mteja kuchagua sehemu yeyote na kufanya booking hapo hapo.
3.Ina uwezo wa kuweka vyumba mbalimbali na bei zake na idadi ya watu na uwezo wa ku book.
3. Ina uwezo wa ku weka ofa mbali mbali za kitalii k**a unazo.
4.Ina uwezo wa kuonyesha wateja wako wote, details zao, ku futa safari, ku ongeza muda wakutalii,KUONYESHA RECORD ZOTE ZA PESA.
5.Ina uwezo waku support online payment k**a MASTER CARD, PAYPALL na OFFILENE k**a mobile pesa.
6.Ina powerfully and secured admin panel ambayo updates zote za system zinafanyika na mtu yeyote bila kujali anajua programming.
Online demo iko hapa: http://mrinaupdates.com/vacation/
Ukivutiwa nayo tuwasiliane nikupe na admin privilege utazame.
Email:[email protected]
Mobile 0715812160
We are here to help you plan your next fun-filled vacation getaway. As vacation specialists, we help families find that perfect escape and enable them to have many wonderful experiences.