Institute of Heavy Equipment and Technology

Institute of Heavy Equipment and Technology Experience and Knowledge We are providing vocational training

Kwa wakazi wa Dodoma na mikoa jirani mafunzo ya uedeshaji wa mitambo yanaendelea chuoni Nala Dodoma.Kujiunga wasiliana n...
10/04/2026

Kwa wakazi wa Dodoma na mikoa jirani mafunzo ya uedeshaji wa mitambo yanaendelea chuoni Nala Dodoma.

Kujiunga wasiliana nasi kwa simu namba
0711597778 au 0748221919

Au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz

Tunawakaribisha kwenye mafunzo ya uendeshaji wa mitambo  ya ujenzi na uzalishaji viwandani, migodini, bandarini na kweny...
07/04/2026

Tunawakaribisha kwenye mafunzo ya uendeshaji wa mitambo ya ujenzi na uzalishaji viwandani, migodini, bandarini na kwenye miradi mbalimbali.

Mafunzo yanaendelea chuoni IHET Tabata Dar es Salaam na Nala Dodoma.

Karibu kujisajili sasa nafasi ni chache

πŸ—πŸšœ

19/02/2026
ICT programs offered by IHET
15/02/2026

ICT programs offered by IHET

Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo.Tunawakaribisha wote wenye uhitaji wa kujifunza uendeshaji wa mitambo ya ujenzi wa bara...
31/01/2026

Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo.

Tunawakaribisha wote wenye uhitaji wa kujifunza uendeshaji wa mitambo ya ujenzi wa barabara, migodini, viwandani, bandarini, na sehemu mbalimbali za ujenzi na uzalishaji k**a Hydrauric Excavator, Forklift, Motor grader, Mobile Crane na Rigging.

Mafunzo yanafanyika chuoni IHET, Dar es Salaam (Kijitonyama na Tabata) na Nala Dodoma.

Kwa mawasiliano na kujiunga wasiliana nasi kwa simu namba
0754300200 au 0748221919 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz

Tunawakaribisha wote kwenye mafunzo ya udereva wa magari madogo na makubwa (Heavy Goods Vehicle Driving)Jisajiri sasaMaf...
31/01/2026

Tunawakaribisha wote kwenye mafunzo ya udereva wa magari madogo na makubwa (Heavy Goods Vehicle Driving)

Jisajiri sasa

Mafunzo yanaanza February 2 2026, wahi sasa nafasi ni chache

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0754300200 / 0748221919 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz

Karibuni sana.

Tunawakaribisha wote kujiunga na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Heavy duty equipment operation).Mafunzo yanaendelea j...
20/09/2025

Tunawakaribisha wote kujiunga na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Heavy duty equipment operation).

Mafunzo yanaendelea jiunge nasi sasa kupata ujuzi wa uhakika kwa gharama nafuu.

Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz kwa maelezo zaidi.

Lifting Supervisor training πŸ—πŸ—πŸ—Only 3 daysJoin now
20/09/2025

Lifting Supervisor training πŸ—πŸ—πŸ—

Only 3 days

Join now

08/08/2025

30% Punguzo la ada Tehama 2025
Certificate na Diploma

Experience and Knowledge

Ordinary Diploma in Information TechnologyDuration:3 Years – For students joining after Form Four (O-Level)2 Years – For...
06/08/2025

Ordinary Diploma in Information Technology
Duration:

3 Years – For students joining after Form Four (O-Level)

2 Years – For students joining after Form Six (A-Level)

This program equips students with practical and theoretical skills in IT, including computer programming, networking, database systems, and software development. Graduates will be prepared for employment or further studies in the ICT sector.

Address

Science Kijitonyama
Dar Es Salaam
14113

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 02:00 - 17:00
Wednesday 02:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 02:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

+255711597778

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Institute of Heavy Equipment and Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Institute of Heavy Equipment and Technology:

Shortcuts

Share

Category