02/01/2018
GIN-CHIA NI MUHIMU SANA KWA AFYA YAKO KUWA BORA NA IMARA.
GIN-Chia ni bidhaa iliyotengenezwa kiasilia ikiwa ni mchanganyiko wa Ginseng na Golden Chia.
Golden Chia imekuwa inatumiwa na Wahindi wa kusini-Magharibi wa Amerika kwa ajili ya kusaidia matatizo ya menopause, kuboresha mzunguko wa damu na kuondoa sumu mwilini ( antioxidant)
Ginseng inajulikana k**a "King of Tonic" kwa kuwa ina hormones saba ikiwemo saponins ambayo ni antioxidant na huondoa msongo wa mawazo (Mood).
Ina vitamin A, B1, B2, B12, C na D, Calcium, Iron, Sodium, Potassium, Zinc, Copper, Magnesium na Manganase hivyo husaidia kuongeza stamina na nguvu ya kustahimili.
Mchanganyiko huu unafanya bidhaa kuwa na zifuatazo:
1. Husaidia kuepuka magonjwa ya moyo.
2. Kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni.
3. Husaidia kuongeza nguvu za kijinsia ( Nguvu za kiume na k**e)
4. Kuongeza nguvu mwilini kwa kuufanya mwili kuwa na stamina ya kutosha.
5. Husaidia kuondoa uchovu mwilini kwa kufanya mishipa kufanya kazi vizuri.
6. Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini kutokana na kuwepo kwa ginsenoside.
7. Husaidia kupambana na kansa kwa kuzuia viini sumu kuzaliana mwilini.
8. Inaongeza kinga ya mwili kwa kuongeza chembe chembe nyeupe za damu mwilini.
9. Husaidia kuratibu kiwango cha sukari mwilini hivyo husaidia kukiepuka kisukari na wenye kisukari kuratibu kiwango cha sukari mwilini pia.
10. Inapunguza msongo wa mawazo.
Bidhaa hii sio dawa ila ni kirutubisho kinachosaidia mwili kuwa na kinga madhubuti.
Kwa ushauri na mawasiliano andika (comment) namba yako tutakupigia au tufikie kwa # +255744738522