Dage Collage

Dage Collage CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO KINAPATIKANA SINZA AFRIKASANA DAR ES SALAAM

Happy Easter πŸ™
31/03/2024

Happy Easter πŸ™

11/03/2024

Dage Collage tunakutangazia nafasi za masomo kwa kozi fupi ya mapishi ya vyakula na uokaji kwa bei nafuu zaidi na kwa watu wote kuanzia umri wa miaka 12 na kuendelea pia kwa watu wazima nafasi zipo.

Mazingira ya chuo ni rafiki na salama kwa mwanafunzi kujisomea pia kuna hostel kwa watakaohitaji. Mafunzo hayo ni ya muda mfupi na bei zake ni nafuu zaidi.

Chuo kimesajiliwa na VETA namba VET/PR/2012/004 NA kinapatikana Sinza Africasana kwa maelekezo na msaada zaidi tupigie simu namba +255693181823/+255759413662 Nyote mnakaribishwa.

Dage Collage tunakutangazia nafasi za masomo mwaka 2024 kwa kozi fupi ya mapishi ya vyakula na uokaji kwa bei nafuu zaid...
13/02/2024

Dage Collage tunakutangazia nafasi za masomo mwaka 2024 kwa kozi fupi ya mapishi ya vyakula na uokaji kwa bei nafuu zaidi na kwa watu wote kuanzia umri wa miaka 12 na kuendelea pia kwa watu wazima nafasi zipo.

09/01/2024

Heri ya mwaka mpya kwako Mteja wetu2024 ikawe njema kwako πŸŽ‡πŸŽ†
31/12/2023

Heri ya mwaka mpya kwako Mteja wetu

2024 ikawe njema kwako πŸŽ‡πŸŽ†

Heri ya sikukuu ya christmas Kwako Mteja wetu.
25/12/2023

Heri ya sikukuu ya christmas Kwako Mteja wetu.

Address

Sinza Africasana
Dar Es Salaam
16102

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dage Collage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Dage Collage:

Shortcuts

Share

Category