C.W.Kisaro Pre & Primary School

C.W.Kisaro Pre & Primary School C.W.KISARO Nursery & Primary School. "Academic And Moral Excellence Is Our Pride "

05/12/2024

STUDY TOUR
Tulifanikiwa kuwapeleka wanafunzi wetu kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya taifa ya SAADANI NATIONAL PARK "WHERE THE BUSHES MEET THE OCEAN" ili kujifunza na kufurahia rasilimali zetu.

_________________________________
Bado tunapokea wanafunzi wa mwaka 2025, karibuni sana.

STUDY TOURTulifanikiwa kuwapeleka wanafunzi wetu kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya taifa ya  ili kujifunza na ku...
05/12/2024

STUDY TOUR
Tulifanikiwa kuwapeleka wanafunzi wetu kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya taifa ya ili kujifunza na kufurahia rasilimali zetu.

_________________________________
Bado tunapokea wanafunzi wa mwaka 2025, karibuni sana.

USAILI USAIL USAIL ……USAILI wa darasa la kwanza na awali Unaendelea. Ni tarehe 15,22,29 NOVEMBER.Ewe mzazi ambae unatafu...
05/11/2024

USAILI USAIL USAIL ……
USAILI wa darasa la kwanza na awali Unaendelea. Ni tarehe 15,22,29 NOVEMBER.

Ewe mzazi ambae unatafuta shule kutwa bora DSM basi C.W KISARO ndio chaguo sahihi. Karibu sana🙏

Wow! Wanafunzi wetu wa Darasa la 7, wamefanya vizuri sana. Tunawafurahia na kuwaombea kila la kheri katika safari yao. T...
29/10/2024

Wow! Wanafunzi wetu wa Darasa la 7, wamefanya vizuri sana. Tunawafurahia na kuwaombea kila la kheri katika safari yao.

Tunamshukuru Mungu sana, Waalimu wetu, Wazazi na Wadau wote muhimu ambao wamekua sehemu ya Mafanikio haya.

Karibuni sana SHULE BORA YA KUTWA - Dar es Salaam.

______________
Ewe Mzazi/ Mlezi mlete mwanao kwenye shule yetu bora ya kutwa - Dar es Salaam
* Daycare
* Nursery & Pre-unit
* Primary School
📍 Tegeta - Madale
📞 +255 765 041 596

Karibuni sana!

All the best, our dear students!______________Ewe Mzazi/ Mlezi mlete mwanao kwenye shule yetu bora ya kutwa - Dar es Sal...
23/10/2024

All the best, our dear students!
______________
Ewe Mzazi/ Mlezi mlete mwanao kwenye shule yetu bora ya kutwa - Dar es Salaam
* Daycare
* Nursery & Pre-unit
* Primary School
📍 Tegeta - Madale
📞 +255 765 041 596

Karibuni sana!

Celebrating legacy of Mwl. Nyerere
14/10/2024

Celebrating legacy of Mwl. Nyerere

Ilipendeza sana! Hogereni sana wanafunzi wetu, tunawatakia kila la kheri.
24/09/2024

Ilipendeza sana! Hogereni sana wanafunzi wetu, tunawatakia kila la kheri.

Karibuni sana
19/09/2024

Karibuni sana

All the best Standard VII
11/09/2024

All the best Standard VII

Karibuni kuhamia kwenye shule yetu na mpate PUNGUZO kwenye ADA.   #30%OFF
30/08/2024

Karibuni kuhamia kwenye shule yetu na mpate PUNGUZO kwenye ADA.

#30%OFF

Address

Madale Police
Dar Es Salaam
4212

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 17:00
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 06:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when C.W.Kisaro Pre & Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category