16/05/2020
Reposted from Leo nakuletea "PRACTICAL LEADERSHIP; SOLUTIONS TO COMMON LEADERSHIP CHALLENGES" kilichoandikwa na Mtaalamu wa Mambo ya Uongozi Tanzania Mr. Ntangeki Nshala
Moja ya kitabu muhimu sana kwa vijana wanaojifunza uongozi, maafisa, watendaji wakuu, watendaji wa idara, vitengo na kila mmoja ambaye angependa kujifunza uongozi
Nimeipokea hii kutoka kwa na leo namchagua mdogo wangu Dena Juma Dena kuendeleza hii.
-