Evelinah fanuel

Evelinah fanuel Upendo kwa wazazi wangu pamoja na kwa kila mtu Naitwa evelinah. Nawapend wote asante.

Natokea mwanza mkazi wa nyamagana kwa sasa nipo dar es salaam,ni mtoto wa pili katk familiya yetu kat ya watoto wanne, naishi na wazazi wote wawili na ni nawapenda x**a . Kwa yeyote atakaye like page yangu naku2ma chochote kzur ntafurah, sema chochote utachojickia kuhusu mimi kilichokupendeza na kisichokupendeza kutoka kwangu.

You know  what??..  No body but me
27/09/2015

You know what??.. No body but me

Id el haj kwang iko pouwah sanaa je kwenu mmeionaje? Mmeenjoy sehem k**a zp wapendw?
27/09/2015

Id el haj kwang iko pouwah sanaa je kwenu mmeionaje? Mmeenjoy sehem k**a zp wapendw?

20/09/2015

Hi 4 my own opinion....

20/09/2015

Hii 4 my only opinion

Love u xoo much my dear falhaa..
20/09/2015

Love u xoo much my dear falhaa..

Mdogo wangu ni m2 muhimu sana katka maisha yangu xo namuombea kw mungu ampe maisha marefu akue na aje  kuwa k**a dada ya...
20/09/2015

Mdogo wangu ni m2 muhimu sana katka maisha yangu xo namuombea kw mungu ampe maisha marefu akue na aje kuwa k**a dada yake £velin@h I LOVE U XOO MUCH MY DEAR YOUNG SISTER.. Mwaaa

Mwanaume mwenye mapenzi ya kwel ni yule mwenye malengo nawe tofauti na huyo >> jua kwamba huyo ni mraghai anakupotezea m...
20/09/2015

Mwanaume mwenye mapenzi ya kwel ni yule mwenye malengo nawe tofauti na huyo >> jua kwamba huyo ni mraghai anakupotezea muda wako zaidi achana nae tafuta anaye kufaa ukimkosa kuwa single jali maisha yako,>> kwani itakuw bora zaid kuliko kujiingiza kucpo kufaa

Heshima ni ki2 muhimu kwa kila binadam ila ni muhima x**a kuwaheshim baba na mama yako NAKUPENDA SANA B & M
20/09/2015

Heshima ni ki2 muhimu kwa kila binadam ila ni muhima x**a kuwaheshim baba na mama yako NAKUPENDA SANA B & M

Napenda kuwapa hi wote kwa wale wote wanaonipenda nakusema pia hata mi nawapenda love u my people
20/09/2015

Napenda kuwapa hi wote kwa wale wote wanaonipenda nakusema pia hata mi nawapenda love u my people

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evelinah fanuel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category