15/05/2022
Stars Pre and Primary school iliyopo Mbezi mwisho Mshikamano inawakaribusha wazazi/walezi wote kuleta watoto wao hapa
Stars ni shule inayopokea watoto wa darasa la awali kuanzia umri wa miaka miwili.
Pia tunaendelea kupokea wanaohamia darasa la 1, 2, 3, 5 na 6. Interview hufanyika kila siku hapa shuleni kuanzia saa 3asb hadi 8mchana
Fomu za kujiunga hutolewa bila malipo yoyote
Ukifika Stand ya Magufuli mbezi mwisho, tupigie tukuelekeze namna ya kufika shuleni kwetu.
Piga/WhatsApp: 0785788599