Nyaishozi College of Bussiness and Computing Technology - NCBCT

Nyaishozi College of Bussiness and Computing Technology - NCBCT Education

03/03/2019

Tunakukaribisha chuoni.

Acha ujumbe tutakupigia!

Kumbuka awamu ya tatu itakuwa mwezi wa July na ya nne itakuwa octoba 2019!

09/02/2019
09/02/2019

Imebaki siku 5 tu kufunga usajili kwa mafunzo ya Business Operations. Kumbuka hii kozi ni mkombozi wa wale ambao hawana zaidi ya pass 4!!!!!!!! Unasubiri nini? Tafadhali wasiliana nasi 0745009792

08/02/2019

Sasa tumeanza kupokea wanafunzi wa Kozi ya Business Operations mpaka tarehe 15/02/2019 kulingana na maelekezo ya VETA. Hivyo unaombwa uwahi sasa usije ukaachwa nyuma.

Kumbuka ada ni laki tatu kwa semester na inalipwa kwa awamu nne. Kwa maelekezo zaidi tupigie simu 0745009792

Utawala

03/02/2019

Chuo cha Nyaishozi (Nyaishozi College of Business and Computing Technology) kilicho Mbweni - Dar es Salaam, kinatangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Diploma na Cheti k**a ifuatavyo:

i. Procurement Management;
ii. Records Management;
iii. Business Operations;
iv. Information Technology; au
v. Statistics

Jinsi ya kutuma maombi
• Unaweza kutuma maombi kwa kujisajili katika tovuti ya Chuo ambayo ni www.ncbct.ac.tz au
• kwa kupiga simu nambari 0745009792 (wahudumu wa Chuo wapo kukusaidia).

Masomo yataanza tarehe 04 Machi 2019.

Tafadhali wafahamishe ndugu, marafiki na jamaa ili wasikose nafasi hii adhimu

NCBCT is an independent and non-for-profit Competence Based Education Training College situated at Mbweni in Dar es Salaam, Tanzania. It is a dynamic, goal focused, career orientated higher learning institution offering an extensive range of certificates, diploma and professional programmes alongsid...

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 15:00

Telephone

255745009792

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyaishozi College of Bussiness and Computing Technology - NCBCT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nyaishozi College of Bussiness and Computing Technology - NCBCT:

Shortcuts

Share