18/04/2016
Ili kuifanya jioni njema....chukua hii tu, halaf endelea na mabmbo mengine
https://twitter.com/kaziijayo/status/722005768749211649
Kazi Ijayo on Twitter
“Ukosefu wa ajira una madhara makubwa sana katika jamii na kwa mtu mmoja mmoja, hasa ukosefu wa ajira unapotokea kwa muda mrefu ”
18/04/2016
Houston largely shut down amid rain, flooding
Houston and parts of southern Texas are under flash flood warnings amid intense rainfall that inundated low-lying areas.
08/03/2015
if you make a hundred captives walk out alive you have prolonged 100 lives.....
I know you feel like being a warrior....try to save say that we have to make them alive as normal human beings.........
05/08/2014
Leading the basics in business communication.......
10/07/2014
hello, hw is thr????
Napenda nikufahamishe kuwa event ya UNLOCK THE YOUTH (ya Barclays na JA Tanzania), iliyopangwa kufanyika ijumaa hiii ya tar 11 IMESOGEZWA mbele mpaka jumatano ya tar 16/7. Twawaomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote.
Kila kitu kipo k**a kilivyopangwa, muda ni ulele na venue ni pale pale. Usajili unaendelea k**a ilivyoelekezwa awali. kwa maelezo zaid tuwasiliane kupitia 0712177507, 0712082996, 0716335388, 0718538312
03/07/2014
Hellow, kwa vijana wote.....
graduates, walioko mavyuoni, na wwengine popote pale mlipo naomba mpokee taarifa hii.
Wiki ijayo kutakuwa na hafla fupi itakayoandaliwa na Barclays Tanzania kwa kushirikiana na Junior Achievement Tanzania.
Theme/Dhamira ya event hyo ni kueleza isues za ethics na practice of business, entrepreneurship na enterprising in BANKING system.
Ninawaomba vijana wenzangu wote wenye dream za kuwa mabosi wa kazi zao wenyewe na wale ambao washaanza kuzitumikia kazi zao, na wale wote ambao bado wanatafuta njia za kufungua milango kwenye kazi zao na ajira, TUITIKIE wito tukutane katika event hiyo.
Lets stay tuned kujua venue na tarehe ya hyo isue.
Usajili kwa ajl ya hyo kitu is open from this time of NOW, waweza confirm utayari na uwepo wako kupitia namba zifuatazo, 0712082996/0688733184/0716335388
15/02/2014
May be tomorrow will call u a great man.....keep your today very beneficial..
Thats why I tell you keep on working hard. Tomorrow will come, very soon....with the name you desire,..
*reach
*self made
*fighter
*achiever
* & the like
nice times...people