Tunda la roho

Tunda la roho Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tunda la roho, kakonko dc, Dar es Salaam.

03/02/2026
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, tulikotoka nimbaliiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
03/10/2024

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, tulikotoka nimbaliiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

🚨 Beki wa Arsenal Riccardo Calafior atalazimika kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Italy na Kurejea London kufany...
08/09/2024

🚨 Beki wa Arsenal Riccardo Calafior atalazimika kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Italy na Kurejea London kufanyiwa vipimo kufwatia jeraha lake alilolipata kwenye mchezo dhidi ya Ufaransa,🙄

Riccardo Calafiori anatarajiwa kuwasili kesho London

©️ Fabrizio Romano

Klabu ya soka ya Azam imeingia mkataba wa ushirikiano na klabu ya AlK Football  ya Sweden utakaodumu kwa kipindi cha mia...
06/09/2024

Klabu ya soka ya Azam imeingia mkataba wa ushirikiano na klabu ya AlK Football ya Sweden utakaodumu kwa kipindi cha miaka mitano (5).

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, mkataba huo utadumu hadi mwaka 2029, ukiwa na lengo la kutoa fursa kwa wachezaji wa kituo cha kukuzia vipaji cha Azam FC kufanya mazoezi na kuendelezwa katika kituo
cha kukuza vipaji cha AlK Football kilichopo Sweden.

Makubaliano hayo yaliyofikiwa huko Stockholm, Sweden, yatatoa nafasi kwa wachezaji wa Azam FC kupata mafunzo chini ya wataalamu waliobobea na wale watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya AlK Football bila kusubiri mlolongo mrefu.

27/05/2024

Congratulations, Manchester United 🔴

Your 2023/24 FA Cup winners 🏆

21/03/2024

""" MAISHA"""""
Yanachangamoto nyingi sana,hapa duniani. Watu hutafuta maisha, sehemu tofautitofauti,kulingana na mhitaji yao.
LEO tunaagalia watu hawa wanaejenga maeneo haya nikweli wanatafuta maishaaa

Tunda la roho , ndege wenye rangi gani? hupenda kujenga kiota, miti isiyo na majani(mikavu)kama huu.
18/10/2023

Tunda la roho , ndege wenye rangi gani? hupenda kujenga kiota, miti isiyo na majani(mikavu)kama huu.

Address

Kakonko Dc
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tunda la roho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tunda la roho:

Shortcuts

Share