New Vision English Medium Nursery School

New Vision English Medium Nursery School New vision daycare , tupo Dar es salaam, manispaa ya temeke , mtoni kijichi - kabojonga. contact.
0759215811
0652089312 HUDUMA ZITOLEWAZO KITUONI KWETU.

Tunatoa twisheni za nursery (chekechea) kuanzia miaka 3- 6

Twisheni za wanafunzi wa shule za msingi kuanzia darasa la kwa kwanza - la saba

Twisheni za secondary kwa pre-form one

MUDA
Masomo huanza sa tisa na nusu(09:30 hadi saa 12:30

NEW VISION AND MUUMINAT NURSERY SCHOOLS,WE SUCCEED THROUGH STRUGGLING
15/12/2025

NEW VISION AND MUUMINAT NURSERY SCHOOLS,
WE SUCCEED THROUGH STRUGGLING

Welcome to New Vision English Medium Nursery School
23/12/2022

Welcome to New Vision English Medium Nursery School

That's New Vision English Medium Nursery School
19/12/2022

That's New Vision English Medium Nursery School

👉Karibu NEW VISION DAY CARE CENTER,👉Tupo mtoni kijichi- Kabojonga👉Tuaendelea na uandikishaji wa  watoto kuanzia miaka 2....
08/10/2022

👉Karibu NEW VISION DAY CARE CENTER,
👉Tupo mtoni kijichi- Kabojonga
👉Tuaendelea na uandikishaji wa watoto kuanzia miaka 2.5 - 6
👉Form zipo Tsh. 3,000
👉Sare zinapimwa na kushonwa shuleni (sare ya mtoto wa kiume ni Tsh.16,000 na mtoto wa k**e ni Tsh.20,000/=
👉Ada kwa mwezi ni Tsh. 15,000 kwa wanaotoka saa saba na Tsh.30,000 kwa wanaoshinda shuleni hadi jioni.

Karibuni sanaa kwa elimu bora

Karibuni New Vision Nursery school
22/01/2022

Karibuni New Vision Nursery school

Heshima kubwa Tuliyoindika akilini na  mioyoni mwenu itaishi na itukumbukwa milele *GUEST HONOUR* 👏👏👏
05/12/2021

Heshima kubwa Tuliyoindika akilini na mioyoni mwenu itaishi na itukumbukwa milele *GUEST HONOUR* 👏👏👏

Congratration 👏👏👏
04/12/2021

Congratration 👏👏👏

Haki elimu
27/04/2021

Haki elimu

08/01/2021

That's New vision
Mtoni kijichi
Dar es salaam

Karibuni sana

Habari zenu wadau wetu. Uongozi mzima wa shule unaanza kukualika mapema katika shughuli ya kuwaaga vijana wetu wanaotara...
09/09/2020

Habari zenu wadau wetu. Uongozi mzima wa shule unaanza kukualika mapema katika shughuli ya kuwaaga vijana wetu wanaotarajia kuanza std 1 mwakani. Wote mnakaribishwa saana mwezi kumi na moja mwishoni.

Mwaka huu tena tunatarajia kutapendeza zaidi ya mwaka uliopita        &
09/09/2020

Mwaka huu tena tunatarajia kutapendeza zaidi ya mwaka uliopita



&

Address

Mtoni Kijichi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255759215811

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Vision English Medium Nursery School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to New Vision English Medium Nursery School:

Shortcuts

Share

Category