15/12/2021
Matukio muchimu ya mahafari,watoto wetu
wakionyesha show nzuri ya fashion ya mavazi
mbele ya wazazi na wageni wetu,bado
hujachelewa udahili bado upo wazi
mpaka mwakani mlete mtoto
wako apate elimu bora.🤗