PCEA Saint Columba's Nursery & Primary Schools

PCEA Saint Columba's Nursery & Primary Schools Welcome to St.Columba's Nursery & Primary school.The school has two campuses, Upanga & Makongo juu.Q

Karibuni wote.
13/12/2023

Karibuni wote.

GOD is good.  We did it again.  DARAJA A BORAAAAA
06/12/2023

GOD is good. We did it again. DARAJA A BORAAAAA

01/10/2023

Tumeanza usaili kwa ajili ya wanafunzi wa kujiunga darasa la kwanza 2024. Karibuni wote St. Columba's Makongo Juu.
0657675539

14/12/2022

Habari za asubuhi ndugu jamaa na marafiki popote mlipo. Nawatangazia kwamba usaili wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2023 unaendelea hapa St. Columba's Makongo juu. Muda ni kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa saba na nusu mchana. Mlete mwanao apate elimu bora. Wahi kabla hujachelewa. Karibuni.

Mungu ni mwema wanafunzi wetu wamefaulu kwa daraja la juu kabisa!!Hakika mungu ni mwema kwani jitihada za walimu na wana...
14/12/2022

Mungu ni mwema wanafunzi wetu wamefaulu kwa daraja la juu kabisa!!Hakika mungu ni mwema kwani jitihada za walimu na wanafunzi zisingetosha bila ridhaa yake. Ooh God thanks again🙏🙏🙏🙏

Habari Usaili unaendelea shuleni ST Columba's Mlete mtoto apate elimu bora kabisa kwani hicho ndicho kipaumbele chetu.Pi...
09/12/2021

Habari
Usaili unaendelea shuleni ST Columba's
Mlete mtoto apate elimu bora kabisa kwani hicho ndicho kipaumbele chetu.
Piga 0769116045

Habari.Kesho ni siku ya interview kwa wanafunzi watakaohitaji kujiunga na shule yetu mwaka 2022. Muda ni kuanzia saa mbi...
03/12/2021

Habari.
Kesho ni siku ya interview kwa wanafunzi watakaohitaji kujiunga na shule yetu mwaka 2022. Muda ni kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa tisa na nusu alasiri. Karibuni

13/07/2021

He made a 🎡

13/07/2021

Talent hits a target no one else can hit

09/07/2021

Warm up session was superb

Address

Stcolumbasmakongojuu@yahoo. Com
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30
Saturday 08:00 - 14:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PCEA Saint Columba's Nursery & Primary Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category