Fursa Yangu

Fursa Yangu Kilimo Biashara

Unaweza kupata suluhisho la tatizo lakoFanya mawasiliano nami 0782705632
05/06/2024

Unaweza kupata suluhisho la tatizo lako
Fanya mawasiliano nami 0782705632

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOAHii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinacho...
28/05/2024

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA
Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto. Hali hii kitaalamu hufahamika k**a hypoactive sexual desire disorder (HSDD). Pia kuna watu wengine wanakuwa na hisia chache kuhusu kitendo hiki. Hali hii huwapata wanaume na wanawake. Sababu za kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa ama hamu kuwa ndogo, sababu zao wote hufanana.

Sababu za kutokea kwa hali mbili hizi:
Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Matumizi ya baadhi ya madawa ya arthritis, saratani, kisukari, presha ya kupanda, maradhi ya moyo na maradhi ya mfumo wa fahamu

Matumizi ya vilevi kupitiliza

K**a mtu alifanyiwa upasuaji maeneo ya nyeti k**a matiti, kwenye uke

Uchovu

Hormone imbalance

Afya ya akili

Kuwa na mahusiano na mwenza ambae humpendi

Kuwa na msongo wa mawazo

Kutokujiamini

Mahusiano yasiyo mazuri na mwenza

Matumizi ya njia za uzazi wa mpango
WASILIANA nami;0782705632

Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika...
28/05/2024

Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote. Hatua katika utengenezaji wa mimba ni k**a zifuatazo:



1. Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachia yai lililokomaa
2. Yai hii kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube)
3. Mbegu za mwanamme kusafiri hadi kwenye cervix, kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
4. Yai lililopevushwa kusafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus).
5. Yai kunata kwenye ukuta wa uterus na kukua.

Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yo yote katika hizo tulizozitaja na mara niyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.
Mawasiliano;0782705632

13/05/2024

Address

Gongo La Mboto Mwisho
Dar Es Salaam

Telephone

+255782705632

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa Yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Fursa Yangu:

Shortcuts

Share