Magnus Secondary School

Magnus Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Magnus Secondary School, School, Pugu Kigogo-fresh, Dar es Salaam.

📌 PRE FORM ONE PROGRAM - 2023🎯Baada ya kufanya maandalizi ya kutosha,sasa DIRISHA LA USAJILI - PRE FORM ONE LIMEFUNGULIW...
31/08/2023

📌 PRE FORM ONE PROGRAM - 2023

🎯Baada ya kufanya maandalizi ya kutosha,sasa DIRISHA LA USAJILI - PRE FORM ONE LIMEFUNGULIWA RASMI.

⏲️PROGRAM ITAANZA RASMI 18-09-2023

🌍Masomo yatakayofundishwa ni BASIC MATHEMATICS, ENGLISH COURSE,SCIENCE SUBJECTS nk

💪WASILIANA NASI SASA KUFANYA USAJILI

📞☎️Mawasiliano 0782 483 646 au 0755 081 181

📌MALENGO KUMALIZIA MWAKA 2023Je, yale malengo uliyopanga Januari 2023 yamekwenda sawa!! 😊😊Je, umeweka malengo gani kuuma...
26/08/2023

📌MALENGO KUMALIZIA MWAKA 2023

Je, yale malengo uliyopanga Januari 2023 yamekwenda sawa!! 😊😊

Je, umeweka malengo gani kuumalizia mwaka 2023??

Karibu MAGNUS SEKONDARI tuufunge mwaka kwa zawadi ya mwanao PRE FORM ONE PROGRAM...Kuanzia tarehe 18-09-2023

HAKIKA HII SI YA KUKOSA

💥PRE FORM ONE PROGRAM💥📌 Maandalizi ni kitu muhimu hususani katika suala la Elimu...MAGNUS SEKONDARI inakuletea Program h...
25/08/2023

💥PRE FORM ONE PROGRAM💥

📌 Maandalizi ni kitu muhimu hususani katika suala la Elimu...MAGNUS SEKONDARI inakuletea Program hii muhimu ambayo imeongezwa mafundisho muhimu yatakayomwezesha mwanafunzi kukabiliana na Elimu ya sekondari kwa ufanisi zaidi.

🎯 Wanafunzi wengi waliopitia program yetu wamekuwa Bora sana katika michepuo ya MASOMO YA SAYANSI,BIASHARA NA SANAA.

⏲️ Program hii itaanza tarehe 18-09-2023 na tayari dirisha la USAJILI LIMEFUNGULIWA.

WASILIANA NASI LEO:
EDUCATIO
📞☎️ 0755 081181 Calls/WhatsApp

Address

Pugu Kigogo-fresh
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 07:00 - 17:00

Telephone

+255755081181

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magnus Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Magnus Secondary School:

Shortcuts

Share

Category