09/05/2021
Maoni ya post graduate ...nanuku
Form six mnaojiandaa kwenda vyuoni, kuna hii kada inaitwa .
Ni moja ya matawi ya Sayansi za dunia ( ) ambapo dunia husomwa kwa kutumia sheria na kanuni za Fizikia (Physics).
? Geophysics hutumika kwenye tafiti za madini, maji chini (ground water), mafuta na gesi nakahalika. Umewahi jiuliza wanaotangaza mahali na muda tetemeko la ardhi lilipotokea wamejuaje? mtoto mpendwa wa geophysics.
Sasa unakuwaje ? K**a umepiga advance, nenda Shule ya Migodi na Sayansi za dunia (sijajua k**a ) wanayo hii kada, mwenye anajua aweza tujuza. Chuoni utatakiwa kutumia miaka minne (4) kupambana na misukosuko ya kutafuta na . Baada ya hapo utakuwa umefuzu kuitwa .
Ukisha pata kazi, utakuwa na uwezekano mkubwa wa kupanda ndege, meli na kutembea kwa miguu maana taarifa (data) za kijiofizikia hukusanywa ardhini kwa kutembea, angani kwa ndege (mfano gravity na magnetics), na kwa meli huko bahari kuu (taarifa za hifadhi kubwa ya gesi huko bahari kuu, upande wa zilitokana na tafiti za namna hii) .
**atafursa hiyo, maana ni kada changa hapa kwetu, na wigo wa matumizi yake unapanuka kwa kasi.