Okoa Mwili Natura-Ceutical 3

Okoa Mwili Natura-Ceutical 3 Lishe & afya ya uzazi & Uzito
πŸ’š Tiba mbadala
🌱 Mwongozo & virutubisho
πŸ“² WhatsApp +255767716093
SUBSCRIBE Sh 3,000/MWEZI, kupata mafunzo yote bure!

Mwanaume, unakabiliwa na changamoto za nguvu za kiume au uzazi?Changamoto k**a:βœ… Kuwahi kufika kileleniβœ… Kukosa hamu ya ...
20/08/2026

Mwanaume, unakabiliwa na changamoto za nguvu za kiume au uzazi?

Changamoto k**a:
βœ… Kuwahi kufika kileleni
βœ… Kukosa hamu ya tendo la ndoa
βœ… Uume kusinyaa au kulegea wakati wa tendo
βœ… Kupungua kwa nguvu na kujiamini

Mara nyingi zinaweza kuhusishwa na mambo mbalimbali k**a msongo wa mawazo, uchovu, lishe isiyokidhi mahitaji ya mwili, uzito kupita kiasi, mzunguko hafifu wa damu au mabadiliko ya homoni.

Ndio maana nimekuandalia RIJALI KIT BLEND β€” mchanganyiko wa lishe wa kuandaa nyumbani uliobuniwa kusaidia kuboresha afya ya mwanaume, nguvu za mwili na ustawi wa mfumo wa uzazi.

Inapatikana tayari:

πŸ₯€ Lita 1 β€” matumizi ya siku 20–30: Sh 100,000/=
πŸ₯€ 380mls β€” matumizi ya siku 10–15: Sh 50,000/=

Unataka kupata maelekezo ya hatua kwa hatua ya namna ya kuandaa mwenyewe?

πŸ“² Piga au WhatsApp +255767716093
Au coment RIJALI nikutumie link kwenye DM.

19/08/2026

JINSI YA KUTUMIA KAROTI NA MAZIWA FRESH KUSAIDIA KUPUNGUZA MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA

Maumivu ya magoti, mgongo, kiuno au viungo si lazima kila mara yatokane na uzee. Lishe duni, upungufu wa baadhi ya virutubisho, matumizi madogo ya mwili na changamoto za viungo vinaweza kuchangia hali hii.

Moja ya njia rahisi ya kuongeza virutubisho muhimu kwenye lishe ni kutumia mchanganyiko wa Juice ya maziwa fresh + karoti + ndizi mbivu.

πŸ₯› MAZIWA FRESH
Yana calcium na protini, virutubisho muhimu kwa uimara wa mifupa na kusaidia kujenga na kurekebisha misuli.

πŸ₯• KAROTI
Ina beta-carotene ambayo mwili hubadilisha kuwa vitamin A, pamoja na antioxidants zinazosaidia afya ya tishu na mwili kwa ujumla.

🍌 NDIZI MBUVI
Ina potassium, magnesium na vitamin B6. Virutubisho hivi vina nafasi katika utendaji wa kawaida wa misuli na mfumo wa neva.

JINSI YA KUTUMIA

Changanya:
πŸ₯› Glasi 1 ya maziwa fresh
πŸ₯• Karoti 1 iliyosafishwa
🍌 Ndizi 1 mbivu

Saga pamoja mpaka upate smoothie laini. Unaweza kutumia k**a sehemu ya kifungua kinywa au mlo wa ziada.

Lakini kumbuka: K**a maumivu yanaendelea, ni muhimu kufanya vipimo kujua chanzo chake.

TUMIA SAMBAMBA NA VIRUTUBISHO VYA:

🌿 Joint Support – kusaidia afya ya viungo, cartilage na utembeaji wa kawaida wa maungio.

β˜€οΈ Premium Vitamin D3 & K2 with Coconut Oil – Vitamin D husaidia mwili kutumia calcium vizuri, wakati Vitamin K ina nafasi katika afya ya mifupa.

Tumia mpango huu kwa miezi 3 mfululizo ukiambatanisha na lishe bora, maji ya kutosha na mazoezi mepesi kulingana na uwezo wako.

πŸ’° Mwezi 1: Sh 120,000
πŸ’° Miezi 3: Sh 360,000
🚚 Nauli juu yetu

Kwa kuweka order, piga au WhatsApp +255 767 716 093.

Au comment β€œNATAKA” nikutumie maelekezo namna ya kuipata.

19/08/2026

MIRIJA YA UZAZI, HOMONI NA UWEZO WA KUSHIKA UJAUZITO

Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango yanaweza kubadilisha kwa muda mazingira ya homoni na mzunguko wa hedhi.

Lakini ni muhimu kufahamu kuwa uzazi wa mpango kwa ujumla hauzibi mirija ya uzazi moja kwa moja.

Kuziba kwa mirija mara nyingi huhusishwa na maambukizi ya PID/STI, uvimbe, endometriosis au makovu baada ya upasuaji.

K**a una historia ya PID, maambukizi ya mara kwa mara, maumivu ya nyonga au umejaribu kupata ujauzito bila mafanikio, ni muhimu kuchunguza hali ya mirija kwa vipimo k**a HSG au kipimo kinachoshauriwa na daktari.

FALLOPIAN TUBE SUPPORT FORMULA
Ina mchanganyiko wa:
🌿 Karafuu
🌿 Tangawizi
🌿 Mlonge
🌿 Mdalasini
🍯 Asali ya nyuki wadogo
πŸ₯œ Almond, mbegu za maboga, n**i na maca

Mchanganyiko huu unalenga kutoa virutubisho na antioxidants vinavyosaidia afya ya mwili na mfumo wa uzazi.

Pia kuna Myo & D-Chiro Inositol, ambayo hutumika kusaidia metabolic na homoni, hasa kwa baadhi ya wanawake wenye PCOS na changamoto za ovulation.

Kuboresha ovulation kunaweza kusaidia nafasi ya kushika ujauzito pale tatizo linahusiana na ovulation.

πŸ“¦ Fallopian Tube Support Formula:
β€’ Kopo 380mls β€” Sh 50,000 (siku 10–15)
β€’ Chupa 1 Lita β€” Sh 100,000 (siku 25–30)

πŸ“¦ Myo & D-Chiro Inositol β€” Sh 60,000 kwa mwezi

Usikimbilie kusema β€œmirija imeziba” bila vipimo. Tambua chanzo kwanza, kisha chukua hatua sahihi.

Comment NATAKA nikutumie maelekezo ya kuipata DM.

πŸ“ž Piga au WhatsApp: +255767716093

Je, unakabiliwa na changamoto za Kutoshika ujauzito, matatizo ya hedhi, kutopevusha mayai?Tumekuandalia programu mbalimb...
19/08/2026

Je, unakabiliwa na changamoto za Kutoshika ujauzito, matatizo ya hedhi, kutopevusha mayai?

Tumekuandalia programu mbalimbali kulingana na mahitaji yako:

βœ… 1. Mafunzo ya Kundi (WhatsApp Group) – TSH 12,500/=
Unapata elimu, ushauri na mwongozo wa hatua kwa hatua ndani ya group letu la WhatsApp la namna ya Kushika Ujauzito Mpaka upate Matokeo.

βœ… 2. Mafunzo Binafsi (WhatsApp Inbox) – TSH 35,000/=
Unapata ushauri wa siri wa mmoja kwa mmoja, ukizingatia changamoto zako binafsi mpaka kupata matokeo.

βœ… 3. Mchanganyiko wa Asali ya Nyuki Wadogo, Karafuu, Mlonge, na Viungo vya Asili

-(350 ml) – TSH 50,000/=
-Lita 1 Tsh 100,000/=

Nauli juu yako au coment UZAZI nikutumie link ya namna ya kuandaa nyumbani.

-Mchanganyiko wa lishe unaotumika k**a sehemu ya programu ya kuboresha afya ya mayai na homoni.

βœ… 4. Programu ya Virutubisho Lishe Tiba (Dozi ya Siku 90 – Nusu Dozi) – TSH 376,000
Kwa wanaotaka kuanza programu ya virutubisho kwa hatua, ikiwa na mwongozo wa matumizi.

βœ… 6. Programu Kamili ya Virutubisho Lishe Tiba (Dozi ya Siku 90) – TSH 552,000
Mpango kamili wa siku 90 unaojumuisha virutubisho, mwongozo wa matumizi na ufuatiliaji wa maendeleo.

πŸ“ž Kwa ushauri au kuagiza huduma, wasiliana nasi kupitia WhatsApp au piga simu +255 767 716 093.

β˜• Je, unatafuta ujauzito? Kinywaji hiki kinaweza kuwa sehemu ya lishe yako ya kuimarisha afya ya uzazi.Karafuu, tangawiz...
19/08/2026

β˜• Je, unatafuta ujauzito? Kinywaji hiki kinaweza kuwa sehemu ya lishe yako ya kuimarisha afya ya uzazi.

Karafuu, tangawizi, mdalasini, mlonge na viambata vingine vya asili vinaweza kuwa sehemu ya lishe inayosaidia kuimarisha afya kwa ujumla.

Hata hivyo, kutumia kiambato kimoja pekee mara nyingi hakutoshi.

Kinachohitajika ni mchanganyiko sahihi, uwiano unaofaa na matumizi ya mara kwa mara sambamba na lishe bora na mtindo mzuri wa maisha.

Ndiyo maana nimeandaa CPE Fertility Booster Blend, mchanganyiko wenye: 🌿 Karafuu
🌿 Tangawizi
🌿 Mlonge
🌿 Mdalasini
🍯 Asali ya nyuki wadogo
πŸ₯œ Almond

Mchanganyiko huu umeandaliwa ili kusaidia lishe inayolenga kuimarisha homoni za uzazi, kusaidia kupevuka kwa mayai na kuboresha afya ya mfumo wa uzazi, sambamba na ushauri wa lishe na mtindo wa maisha.

Unaweza:
βœ… Kuandaa mwenyewe nyumbani kwa kufuata mwongozo wetu. Au
βœ… Kupata CPE Fertility Booster Blend iliyotengenezwa tayari.

Bei:
πŸ“¦ Kopo la 380mls – Sh 50,000 (siku 10-15)
πŸ“¦ Chupa ya Lita 1 – Sh 100,000 (Siku 25 hadi 30)

Kwa matokeo bora, tunashauri kuitumia kwa miezi 3 mfululizo pamoja na lishe sahihi.

πŸ“² Weka oda leo: Piga au WhatsApp +255 767 716 093

Unataka kuandaa mwenyewe nyumbani?

Bofya link kwenye BIO au Coment "UZAZI" nikutumie link ya maelekezo DM bure.

18/08/2026

Je, unasumbuliwa na harufu mbaya sehemu za siri, muwasho, uchafu unaojirudia au unataka kuimarisha afya ya uke kwa ujumla?

Afya ya uke huathiriwa na uwiano wa bakteria wazuri. Unapovurugika, unaweza kupata usumbufu unaojirudia. Ndiyo maana ni muhimu kuusaidia mwili kutoka ndani na pia kudumisha usafi wa sehemu za siri.

WOMEN PROBIOTIC GUMMIES

Husaidia:
β€’ Kusaidia uwiano wa bakteria wazuri kwenye uke na utumbo.
β€’ Kusaidia afya ya uke kwa ujumla.
β€’ Kusaidia kupunguza usumbufu unaojirudia unaohusiana na kuvurugika kwa bakteria wa kawaida.
β€’ Kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
β€’ Husaidia kuimarisha kinga ya mwili.

Bei: Sh 55,000 (mwezi 1)

FEMININE PRIVACY CLEAN

Husaidia:
β€’ Kusafisha sehemu za siri kwa upole.
β€’ Kusaidia kudumisha usafi na harufu nzuri.
β€’ Kusaidia kuhifadhi uwiano wa asili wa mazingira ya uke.
β€’ Kutoa hisia ya usafi na ubaridi siku nzima.

Bei: Sh 45,000

Kwa matokeo bora, tumia mfululizo kulingana na maelekezo na zingatia usafi binafsi pamoja na lishe bora.

πŸ“ž Piga au WhatsApp: +255767716093

Au andika "NATAKA" kwenye comment, tutakutumia maelezo ya namna ya kuipata.

18/08/2026

BONEFLEX PACKAGE – SULUHISHO LA AFYA YA MIFUPA NA MAUNGO

Maumivu ya mgongo, magoti au viungo si tatizo la kawaida k**a wengi wanavyodhani. Mara nyingi ni dalili kwamba mifupa imeanza kudhoofika, ute kwenye maungio unapungua au mwili unakosa virutubisho muhimu vya kujenga na kurekebisha tishu.

Hali hii huanza taratibuβ€”unajikuta unachoka haraka, unahisi maumivu ukisimama muda mrefu au unapopanda ngazi.

Kadri muda unavyopita, maumivu yanaweza kuwa makali zaidi na kuathiri kabisa ubora wa maisha yako.

BoneFlex Package imeundwa kusaidia kurejesha uimara wa mifupa, kulainisha maungio na kuimarisha mfumo wa neva kwa pamoja.

Inakusaidiaje mwilini?

βœ”οΈ Huongeza uimara na uzito wa mifupa (bone density)
βœ”οΈ Huongeza ute kwenye maungio na kuzuia mifupa kusagana
βœ”οΈ Hupunguza maumivu ya magoti, mgongo na pingili (disc)
βœ”οΈ Husaidia ukarabati wa majeraha ya mifupa na viungo
βœ”οΈ Huboresha nguvu za misuli na usawa wa mwili
βœ”οΈ Husaidia kudhibiti matatizo k**a arthritis, gout na osteoporosis

Watu wengi hudhani matatizo haya ni ya uzee pekee, lakini ukweli ni kwamba hata vijana wanaokaa muda mrefu ofisini, madereva, au wanaofanya kazi nzito wako kwenye hatari kubwa.

Ukiona dalili k**a:

-Maumivu ya mara kwa mara ya mgongo
-Magoti kuuma au kutoa mlio
-Viungo kukaza au kuvimba
-Kuchoka haraka bila sababu

Hizi ni ishara mwili wako unahitaji msaada wa haraka.

Unaweza kutumia Mchanganyiko wa kuandaa Nyumbani- BONEFLEX SUPPORT FORMULA. Ambayo imeandaliwa:
-Siku 15 sh 50,000
-mwezi 1 sh 100,000

Kwa matokeo bora zaidi:
Changanya matumizi sahihi ya BoneFlex Package na lishe yenye madini ya calcium, magnesium na omega pamoja na kunywa maji ya kutosha kila siku.

Kopo uliloliona kwenye Picha 1 la mwezi sh 70,000/= nauli juu yako

K**a tatizo ni kubwa, Tumia Package kubwa

BEI:
-Mwezi 1 – Tsh 375,000
-Miezi 3 – Tsh 1,125,000

Usisubiri hadi hali iwe mbaya zaidi. Anza sasa kurejesha nguvu, uimara na uhuru wa mwili wako.

πŸ“ž Piga / WhatsApp: +255767716093

18/08/2026

Uchovu usioisha, uzito kugoma kushuka, tumbo kujaa gesi, ngozi kubadilika au magonjwa kurudia-rudia… usifikirie ni kawaida.

Mwili wako huwa haukosei kutoa ishara. Mara nyingi tatizo huanzia ndani – hasa pale ini linapokuwa limeelemewa na sumu, mafuta mengi, sukari kupita kiasi au matumizi ya dawa za mara kwa mara.

Ini ndilo chujio la mwili. Likifanya kazi vizuri:
βœ” Unakuwa na nguvu
βœ” Mmeng’enyo unakuwa mzuri
βœ” Uzito unakuwa rahisi kushuka
βœ” Ngozi inang’aa
βœ” Kinga ya mwili inaongezeka

Lakini likichoka au kuathirika, dalili huanza polepole – na watu wengi huzipuuzia hadi zinapokuwa kubwa.

Baadhi ya magonjwa sugu ya ini ni pamoja na:
β€’ Hepatitis sugu (B au C)
β€’ Ini lenye mafuta (Fatty Liver)
β€’ Liver fibrosis
β€’ Cirrhosis
β€’ Autoimmune hepatitis
β€’ Saratani ya ini

Habari njema ni kwamba ini lina uwezo mkubwa wa kujijenga upya likipewa msaada sahihi na mapema.

Tumia liver Spport Powder
-Siku 15 sh 40,000/=
-Mwezi 1 sh 80,000/=

AU

Kwa kusaidia kusafisha na kuimarisha ini, tunatumia mpango wa C24/7 pamoja na Liver Care.

πŸ”Ή K**a unahitaji kusafisha na kukinga ini na mwili dhidi ya magonjwa (dozi ya kawaida):
πŸ“… Mwezi 1 – Sh 170,000
πŸ“… Miezi 3 – Sh 510,000

Hii husaidia:
βœ” Kuimarisha kinga ya mwili
βœ” Kupunguza uchovu
βœ” Kusaidia kuondoa taka na sumu
βœ” Kuboresha mmeng’enyo
βœ” Kusaidia kuzuia kuendelea kuathirika kwa ini

πŸ”Ή K**a tayari una magonjwa sugu au dalili za muda mrefu:
C24/7 na Liver Care hutumika mara mbili ya dozi ya kawaida kwa mwezi wa kwanza ili kusaidia kusisimua urekebishaji wa ini kwa nguvu zaidi.

Gharama kwa hali iliyoathirika:
πŸ“… Siku 15 – Sh 170,000
πŸ“… Mwezi 1 – Sh 350,000
πŸ“… Miezi 3 – Sh 1,050,000

Mara nyingi matokeo mazuri huanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya matumizi mfululizo, sambamba na:
β€’ Kuacha pombe
β€’ Kupunguza sukari na vyakula vya mafuta mengi
β€’ Kunywa maji ya kutosha
β€’ Kula mboga za majani na matunda ya asili

Usiendelee kuishi na dalili kila siku. Shughulikia chanzo, sio kuficha tatizo.

πŸ“ž Piga au WhatsApp +255767716093 sasa.

Au coment INI kujua namna ya kuandaa Mwenyewe

Mwanaume, unakabiliwa na changamoto za nguvu za kiume au uzazi?Changamoto k**a:βœ… Kuwahi kufika kileleniβœ… Kukosa hamu ya ...
18/08/2026

Mwanaume, unakabiliwa na changamoto za nguvu za kiume au uzazi?

Changamoto k**a:
βœ… Kuwahi kufika kileleni
βœ… Kukosa hamu ya tendo la ndoa
βœ… Uume kusinyaa au kulegea wakati wa tendo
βœ… Kupungua kwa nguvu na kujiamini

Mara nyingi zinaweza kuhusishwa na mambo mbalimbali k**a msongo wa mawazo, uchovu, lishe isiyokidhi mahitaji ya mwili, uzito kupita kiasi, mzunguko hafifu wa damu au mabadiliko ya homoni.

Ndio maana nimekuandalia RIJALI KIT BLEND β€” mchanganyiko wa lishe wa kuandaa nyumbani uliobuniwa kusaidia kuboresha afya ya mwanaume, nguvu za mwili na ustawi wa mfumo wa uzazi.

Inapatikana tayari:

πŸ₯€ Lita 1 β€” matumizi ya siku 20–30: Sh 100,000/=
πŸ₯€ 380mls β€” matumizi ya siku 10–15: Sh 50,000/=

Unataka kupata maelekezo ya hatua kwa hatua ya namna ya kuandaa mwenyewe?

Piga/Whatsapp +255767716093 au coment RIJALI nikutumie link DM yenye maelezo ya hatua kwa hatua namna ya kuandaa mwenyewe

MAYAI HAYAPEVUKI? USIPUUZE MAYAI PEKE YAKE β€” ANGALIA LISHE YAKO KWANZA.Pia, wanawake wengi hujiuliza: β€œUke kulegea kunaw...
17/08/2026

MAYAI HAYAPEVUKI? USIPUUZE MAYAI PEKE YAKE β€” ANGALIA LISHE YAKO KWANZA.

Pia, wanawake wengi hujiuliza: β€œUke kulegea kunaweza kuathiri uwezo wa kushika ujauzito?”

Kwa ujumla, kulegea kwa uke pekee hakumaanishi mwanamke hawezi kupata ujauzito. Uwezo wa kushika ujauzito huathiriwa zaidi na mambo k**a ovulation, ubora wa mayai, homoni, mirija ya uzazi, mbegu za mwanaume na afya ya kizazi.

Hata hivyo, mabadiliko ya misuli ya sakafu ya nyonga yanaweza kuathiri hisia wakati wa tendo na, katika baadhi ya hali, kuhusishwa na matatizo mengine ya afya ya uzazi. Ndiyo maana ni muhimu kutafuta chanzo badala ya kuhusisha kila tatizo na β€œuke kulegea”.

MAYAI HAYAPEVUKI? ANGALIA LISHE YAKO

Lishe yenye sukari nyingi na vyakula vilivyosindikwa inaweza kuchangia udhibiti mbaya wa sukari na insulin. Kwa baadhi ya wanawake, hasa wenye PCOS au insulin resistance, hali hii inaweza kuhusishwa na kuvurugika kwa homoni na ovulation kutokuwa katika mpangilio mzuri.

K**a una:
β€’ Hedhi zisizo za kawaida
β€’ Unaambiwa hupevushi mayai vizuri
β€’ PCOS
β€’ Unatafuta ujauzito bila mafanikio

Ni muhimu kuchunguza chanzo, si kuangalia mayai pekee.

Vipimo k**a AMH, FSH/LH, prolactin, thyroid na ultrasound vinaweza kusaidia kutathmini afya ya uzazi kulingana na hali yako.

LISHE NA VIRUTUBISHO VINA NAFASI GANI?

Anza kuboresha lishe kwa vyakula vyenye virutubisho mbalimbali k**a tangawizi, karafuu, mdalasini, mbegu za maboga, n**i, maca, moringa, almond na asali halisi.

Mchanganyiko huu unaweza kuwa sehemu ya mpango wa lishe unaolenga kusaidia afya ya mwili kwa ujumla.

Kwa wanaofaa kutumia, CPE Fertility Booster Blend inaweza kuunganishwa na lishe bora, usingizi wa kutosha, mazoezi na mtindo mzuri wa maisha.

Pia, Myo & D-Chiro Inositol hutumika zaidi kusaidia udhibiti wa insulin na utendaji wa homoni, hasa kwa baadhi ya wanawake wenye PCOS.

UNAHITAJI MCHANGANYIKO ULIOKWISHA ANDALIWA?

CPE Fertility Booster Blend
β€’ Lita 1 β€” Sh 100,000
β€’ 300 ml β€” Sh 50,000

Myo & D-Chiro Inositol β€” Sh 60,000 kwa mwezi.

Unataka kujua namna ya kuandaa mchanganyiko mwenyewe? Comment β€œUZAZI” au wasiliana nasi kwa ushauri.

Piga au WhatsApp: +255767716093

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Okoa Mwili Natura-Ceutical 3 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Okoa Mwili Natura-Ceutical 3:

Shortcuts

Share