10/10/2016
kila mtu huwa na wazo ambalo ulipata kwa ajili ya maisha yake katika shighuli mbalimbali.
Kuna mtu alishawahi kusema mpaka umeliwaza Hilo wazo basi unaliweza. Kitu kinachotufanya tusijiamini katika mawazo yetu tuliyoyapanga kichwani ni matumaini (hope).....
Matumaini ufananishwa na ndoto tulizonazo kwasababu husipokuwa na matumaini huna ndoto maana yake husipokuwa na matumaini huwezi kutimiza ndoto zako.... Matumaini huja kwa mtu mwenye ndoto.. Na kumfanya ajiamini na kujiamini kwake umfanya afikirie na apate njia kwa muda mchache ya kutimiza ndoto.. yake
Akili hisiyokuwa na mawazo huwaza haraka Sana na kutatua jambo kwa muda mfupi..... Ukijiamini akili haiwezi kuwa na mawazo.
Kumbuka.
upelekea ndipo akili upata kwa urahisi....