20/08/2024
TANGAZO LA KAZI
Tunatafuta kwa haraka mwalimu wa kufundisha baby class. Mwenye uzoefu wa kulea watoto wadogo. Elimu ni cheti cha nursery!
Awe anatokea maeneo jirani na shule ama aliye na utayari kuhamia maeneo jirani na shule.
Shule ipo Majohe DSM
0766522703