Al-Hikma Qur'an Competition

Al-Hikma Qur'an Competition

Comments

AMINA
Rfshckw
Fkxtv
I really love listening to Quran
Panapo uhai na majaaliwa yake allah inshaallah
Yalifanyka Lin Au Hayajafanyika
Vizur
Al mdulillh
Assalaaddsm alyekum warhamattullah wabarakatul, ndugu zangu was kiislamu na taasisi yetu kwa ujumla, lengo kubwa kuchapisha katika ukurasa huu wenu ni kuwaomba ndugu zangu wa kiislamu kuwa kuna shule inapatikana maeneo ya ubungo Dar-es-salam inashida au inaomba kufuturisha katika kumi hili la mwisho inshaallah imeweza kukwama Inayo waislamu 78 pekee inshaallah kwa wataokuwa tayari waweze kuwasiliana na namba hii 0743205340 inshaallah utapatiwa maelekezo yote.
Uislam n dini y haki na ten inatambulika kwa mwenyezi mungu
Asalam aleykum warah matulallhi wabarkatu
Very nice.
Qur An Qareem.
napenda kuxoma qur,an iliniende njia nyoofu

Taasis ya Al-hikma foundation chini ya usimamizi wa sheikh Nurdin Kishki inawaandalia mashindano makubwa ya kuhifadhi na kusoma Quran Africa.

Operating as usual

Al-Hikma Qur'an Competition updated their phone number. 21/06/2021

Al-Hikma Qur'an Competition updated their phone number.

Al-Hikma Qur'an Competition updated their phone number.

Al-Hikma Qur'an Competition updated their address. 21/06/2021

Al-Hikma Qur'an Competition updated their address.

Al-Hikma Qur'an Competition updated their address.

Photos from Al-Hikma Qur'an Competition's post 03/05/2021

#qurankwarikazote #MashindanoYaQuran #uwanjawataifa #25april2021

27/04/2021

TAZAMA UCHAMBUZI WA MAJAJI YA MASHINDANO YA QURAN YALIYOFANYIKA UWANJA WA TAIFA 25.04.2021 #live hivi sasa kupitia KISHK TV & ZBC 2

TAZAMA UCHAMBUZI WA MAJAJI YA MASHINDANO YA QURAN YALIYOFANYIKA UWANJA WA TAIFA 25.04.2021 #live hivi sasa kupitia KISHK TV & ZBC 2

Photos from Al-Hikma Qur'an Competition's post 26/04/2021

PBZ Bank; Islamic Banking imedhamini mashindano makubwa ya kusoma Qur'an barani Africa yaliyo fanyika uwanja wa Benjamin Mkapa leo jijini Dar es Salaam. PBZ - Benki ya Watu, Chaguo la Watu
Reposted from @pbzbank_

26/09/2020

Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
-
Al-hikma Foundation chini ya usimamizi wa @sheikh_nurdeen_kishk inawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2021 katika shule ya sekondari ya wasichana ya Al-hikma iliyopo Temeke - Mwembeyanga.
-
Shule ni ya kutwa na ni ya wasichana tu.
-
Fomu zinapatikana shuleni na usaili utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 17.10.2020 in sha Allah.
-
Mlete mwanao apate elimu na malezi bora ya kiislam bila ya kusahau kusoma na kuhifadhi Qur-aan Tukufu.
-
Kwa maelezo zaidi piga:
0687 883355 | 0716 020101
Karibuni sana!
-
By Admin: @yahyatweitin

#alhikmaSchools #WahiSasa #NafasiNiChache #nafasizamasomo2021 #islamicschools #nurseryschool #primaryschool #islam #islamic #quran #sunnah #education #dayschool #secondaryschool

06/07/2020

@alhikma_quran_competition
@sheikh_nurdeen_kishk

Nyote mnakaribishwa

12/04/2020

Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh!

Account ya Instagram ya Sheikh Nurdeen Kishk inakuletea NUFAIKA NA DINI YAKO NDANI YA RAMADHAN

Unachotakiwa kufanya FOLLOW account Hii

👇🏻👇🏻👇🏻

https://instagram.com/sheikh_nurdeen_kishk?igshid=1di0bquho6h3u

10/04/2020

[03/19/20]   TANGAZO LA KHUTBA YA IJUMAA

MADA: JE CORONA NI MARADHI YA KAWAIDA AU NI ADHABU KUTOKA KWA ALLAH

18/03/2020

Huyu ndiyo Sheikh Mohammed Sulayman aliye tafsiri Qur-an kwa lugha ya kiswahili kwa Sauti yake yenye kuvutia

18/03/2020

#Repost @wizara_afyatz
• • • • • •
Dodoma, Tanzania

Taarifa kwa umma 👆

#tumeboreshaafya

17/03/2020

SHULE ZIMEFUNGWA SIKU 30 TANZANIA KUJIKINGA NA CORONA.

لا حول ولا قوة الا بالله

Yaa Allah tunakuomba utusamehe dhambi zetu, uwaponye wale wote waliyokumbwa na maradhi haya hatari ya corona na utunusuru na gonjwa hili la corona.

#ameen

15/03/2020

Alhamdulillah baada ya mchujo wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara kumalizika, mwenyekiti wa Kamati Kuu Ya Maandanilizi Ya Mashindano Makubwa Zaidi Ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu Afrika @sheikh_nurdeen_kishk alimtangaza mshindi ambaye ndiye atakayeiwakilisha Tanzania Bara.

Mshindi ni Omar Abdallah Salim Kutoka #daressalaam.
Samabamba na hilo alitangazwa Mwakilishi wa taasisi ya Al-hikma Foundation ambaye ni Omar Mohamed Seif.

#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar #nenolashukrani #shukran #sheikhnurdeenkishk #kishk

15/03/2020

Jaji Mkuu Ustadh Abdallah Khamis Limbumba akitangaza #matokeo ya washindi 10 kati ya washiriki 27 kutoka mikoa ya #tanzaniabara wa mchujo wa kwanza uliofanyika Leo #jumapili ndani ya Masjid Ihsan (Temeke - Vetenari). -

Ambapo washindi hao 10 wataendelea na mchujo wa pili ambao utafanyika Leo ndani ya Masjid Nurulyakin (Temeke - Mwembeyanga). Matokeo ya #Washindi 10 wa mchujo wa kwanza ni:
1. Omar Abdallah Salim (95%)
2. Abubakar Mohamed Abubakar (94.75%)
3. M***a Mohamed M***a (95.5%)
4. Khamis Said Khamis (92.75%)
5. Kassim Ayoub Salim (92.25%)
6. Abdulqadir Tajir Abubakar (92%)
7. Mrisho Ramadhan Sebu (92%)
8. Abdallah Athman Shaweji (91%)
9. Bakari Juma Bakari (91%)
10. Najla Jamali Selemani (90.5%)
In sha Allah mshindi atakayepatikana katika mchujo huo wa pili Jioni ya Leo ndiye atakayeiwakilisha #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Quran Tukufu Afrika yatakayofanyika Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam

#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar #nenolashukrani #shukran #sheikhnurdeenkishk #kishk

15/03/2020

Mwenyekiti wa kamati kuu ya Mashindano Makubwa zaidi ya Qur-aan Tukufu Afrika Sheikh Nurdeen Kishk akitoa neno la shukran katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar #nenolashukrani #shukran #sheikhnurdeenkishk #kishk

15/03/2020

Abdulqadir Tajir Abubakar kutoka #tanga ni mshiriki anayetumia qiraa ya Duriy riwaya ya Amru Bin Asim Al-basary katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Bakari Juma Bakari kutoka #daressalaam a ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Suleiman Hamad Bakar kutoka #arusha ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Khamis Said Khamis kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

M***a Mohammed M***a kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Rajab Abdulkarim Rajab kutoka #iringa ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Omary Abdallah Salim #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica #allahuakbar

15/03/2020

Idrisa Abdussalaam Omary #mwanza ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Issa Bakar Hamad kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Najila Jamali Selemani kutoka #arusha ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Abdulkarim Bakari Njechele kutoka #daressalaam a ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Hussein Khamis Issa kutoka #dodoma ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Abubakar Mohamed Omary kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Kassim Ayoub Salim kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Sufian Suleyi Nashir kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Yusuf Abd Salim kutoka #shinyanga ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Kassim Said Salum kutoka #daressalaam ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam
#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Gharib Haroub Hamad kutoka #mwanza ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam

#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

15/03/2020

Mrisho Ramadhan Sebukutoka #mwanza ni mshiriki katika mchujo wa kwanza wa juzuu 30 wa kumtafuta mwakilishi wa #tanzaniabara katika mashindano makubwa zaidi ya Qur-an Tukufu Afrika yatakayofanyika mwaka huu tarehe 10.05.2020 ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa jijini #daressalaam

#mashindanoyaquranindaniyanchiyaamani #quran #ihsan #islam #islamic #mashindanoyaquran #qurancompetition #africa #tanzania #tanzaniabara #eastafrica

Videos (show all)

@alhikma_quran_competition@sheikh_nurdeen_kishk Nyote mnakaribishwa
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh!Account ya Instagram ya Sheikh Nurdeen Kishk inakuletea NUFAIKA NA DINI YAKO ...
Huyu ndiyo Sheikh Mohammed Sulayman aliye tafsiri Qur-an kwa lugha ya kiswahili kwa Sauti yake yenye kuvutia
#Repost @wizara_afyatz• • • • • •Dodoma, TanzaniaTaarifa kwa umma 👆#tumeboreshaafya
SHULE ZIMEFUNGWA SIKU 30 TANZANIA KUJIKINGA NA CORONA.لا حول ولا قوة الا بالله Yaa Allah tunakuomba utusamehe dhambi zet...
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuhTaasisi ya Al-hikma Foundation chini ya usimamizi wa Sheikh Nurdeen Kishk inawa...
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh!Miongoni mwa sunnah za siku ya Ijumaa ni kuswalia kwa wingi mtume wetu Muhamma...
NASAHA KUHUSU NYIMBO NA MUZIKISIKU YA QIYAMA HAKI NA  BATIL VIKILETWA KISHA IKATANGAZWA KUWAHAKI IJE KULIANA BATIL IJE K...
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUHAL-HIKMA FOUNDATION INAWATANGAZIA WAISLAMU WOTE KUWA FOMU ZA KUMTAFUTA MSHIRIKI...
Hii si yakukosa. Njoo uliombee Taifa lako nawewe upate kisomo Allah akujaalie katika ya kheri unayoyahitaji. Ni jumamosi...
Hii si yakukosa. Njoo uliombee Taifa lako nawewe upate kisomo Allah akujaalie katika ya kheri unayoyahitaji. Ni jumamosi...

Location

Category

Telephone

Website

mashindanoyaquranafrika.or.tz

Address

Temeke - Mwembeyanga
Dar Es Salaam
255
Other Education in Dar es Salaam (show all)
Msaud-Duce Msaud-Duce
Dar Es Salaam

this page offers academic issues together with islamic knowledge.

Hadithi ZA Kusisimua Hadithi ZA Kusisimua
Kimara Mwisho
Dar Es Salaam

Pata Simulizi Mbalimbali zenye Visa na Mikasa ya Kusisimua...Hakika Utajifunza Mengi na Utaburudika...Gonga LIKE tuendeleze Fasihi Yetu ya Kiswahili

Kilimani schools Kilimani schools
Mbezi Kati
Dar Es Salaam, 31961

admission starts this November 1

UKAWA news updates UKAWA news updates
Mbezi Beach, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 22771

We all need changes in our country and the only meaning of changes at the moment is by putting UKAWA in charge of the government #M4C #PEOPLE'S_POWER

UN Club Benjamin William Mkapa High School UN Club Benjamin William Mkapa High School
Dar Es Salaam

Learn n eXperience more bout UN...get exposure off limits,share + ideas n promote better lives of Youth in the Tanzania societies.

YetuTube YetuTube
Dar Es Salaam

Environmental Science CLUB Environmental Science CLUB
MAKONGO JUU
Dar Es Salaam, +255

Tanzania Scouts Association - TSA Tanzania Scouts Association - TSA
SCOUTS Building Plot No. 1078 Upanga, Malik Road P.O. Box 945, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, P.O.BOX 945

OFFICIAL PAGE FOR TANZANIA SCOUTS ASSOCIATION - The Largest Youth Movement in Tanzania.

Islah ul Muslimeen Madrassa & Secular Studies Islah ul Muslimeen Madrassa & Secular Studies
Mindu Street..upanga
Dar Es Salaam, 20036

Islah-ul-Muslimeen

Royal College of Tanzania 'RCT' Royal College of Tanzania 'RCT'
Pobox 55132
Dar Es Salaam

To provide training in social science related disciplines which include journnalism, social work with community development, public relations and law

Tanzania HOUSE of Mathematics.com Tanzania HOUSE of Mathematics.com
Tabata Kimanga
Dar Es Salaam, 56

Our Mission: "To create all means that will motivate, inspire and promote mathematics

SAIDI SAIDI
MAKANGALAWE STREET
Dar Es Salaam, MANENO

hii ni kwa habari au tukio lolote linalofaa kuwahabasha lafiki zangu nakushauli penda kutembelea hii page.